Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,020
- 691
Wapendwa
Computer yangu imefanyiwa Instlation hivyo imefutwa kila klitu na sasa nataka kuprint lakini sina CD ya printer ni HP naweza kufanyaje ili niconect computer to printer bila CD ya printer husika.
Asante