Habari wana IT.
Natumia Windows Vista, 64-bit operating System (Home Premium), nimepata tatizo wakati nainstall software (ni muhimu sana kwa ajili ya thesis yangu). Napata error message hii.
The version of this file is not compatible with the version of windows youre running. Check your computers system information to see whether you need an x86(32-bit) or x64(64-bit) version of the program, and then contact the software publisher.
Nimejaribu kutafuta solution kwenye mtandao sijafanikiwa, zote ambazo nimeziona kwenye mtandao zimeshindwa kufanikisha.
Naomba msaada wenu wana JF kwani nimeshindwa kuendelea na hiyo assignment na ni hiyo software pekee inaweza kufanikisha hiyo assignment(i.e kufanya simulation).
Thank you in advance