Ubuntu inanisumbua ........gnome

georgerweba

Member
Sep 25, 2010
12
2
salaam kwenu wakubwa wana JF Naomba msaada wenu nilikua natumia UBUNTU latest version lakini ilinishinda kitu kimoja,kuna mida ukifungua kwenye kuingiza password inagoma alafu inaandika kuna tatizo la GNOME nainakataa kufunguka kabisa imesababisha niFORMAT Machine twice,Sahivi natumia W7,what is GNOME and How can I overcome this promblem NAOMBA MSAADA WENU Wakuu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom