panasonic plasma tv

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,772
6,555
niaje wadau mi na tv ni plasma ina sapot dvb bila hata yakuwa na receiver ina nasa digital tv zote za bongo lakn hazioneshi picha ila sauti. Je ni fanyeje ili ziweze kuonekana
 
Niuzie niiweke kwa kituo changu cha vipofu, they need to hear not to see!
Pm me.
 
@memo..du nimecheka,ila c fair ulivomjibu! Lol..ushauri:check instruction manual ya hyo tv,or tembelea site yao kwa support
 
niaje wadau mi na tv ni plasma ina sapot dvb bila hata yakuwa na receiver ina nasa digital tv zote za bongo lakn hazioneshi picha ila sauti. Je ni fanyeje ili ziweze kuonekana
Jaribu kucheki frequency kwenye sauti na kuzifanyia auto search (kwenye sound) huenda zikaongea
 
Inawezekana ukiwa decission maker utasababisha mis-use of resources!!

Hapana redio hasishi TV!! kwahiyo si vibaya kutumia TV isioonyesha picha kwa vipofu!! :) jamaa ana IQ kubwa sana (usikute gharama ya kuitengeneza ni kubwa kuliko kununua nyengine!!)
 
Mkuu wala usijali sana, we angalia tu setting zako za picha umeziwekaje, kuna PAL na NTSC nafikiri kwa bongo tunatumia PAL
 
Back
Top Bottom