Wakuu wa Jamvi.
Mimi ni mteja mzuri sana wa Kampuni ya airtel.
Kwasababu ya shughuli zangu napendelea kujaza simu yangu airtime ya 100,000 mara nyingi.
Sina tabia sana ya kuangalia Salio...
Cracking the Coding Interview gives you the interview preparation you need to get the top software developer jobs. This book provides:
150 Programming Interview Questions and Solutions: From...
Jamani mie siyo mtaalamu kabisa wa mambo ya electronics ila nina tatizo kidogo naomba tusaidiane.LEO MCHANA nilikuwa mahali fulani halafu nikawaona jamaa wanabishana kuhusu hizi T.V za kisasa...
Wana jf ninampango wa kununua printer kwa ajili ya matumizi yangu binafsi ya kielimu, ila sina uzoefu!!! Kwa wazoefu, naombeni msaada wa ushauri ni printer gani ni nzuri ambayo inaweza kuscan na...
Let us discuss how these company makes money. I have tried to see but only google adword is the only thing I can see. From ICT perspective especially SE, how do they make money? And what can we...
Kwa kiswahili tunasema Dunia kama kijiji.. Neno hili limekuwa msemo sababau ya Internet na TEKNOHAMA. Mfano Leo hii unaweza
"kutembelea " yard ya magari liyopo japan au Dubai hku ukiwa...
Kuna hii desktop aina ya fujitsu nikitaka kuiformat nikiweka cd nikiirestart inatoa msg kama kawaida ya press any key to boot from cd tatizo linakuja vipi kila nikibonyeza button yeyote hairespond...
kwa watumiaji wa photoshop,hizi ni baadhi ya keyboard shortcuts katika photoshop,this makes easy for photo shop users!!!
New Ctrl+n
Open Ctrl+o
Close Ctrl+w
Save Ctrl+s
Save as Shift+Ctrl+s...
Nimekuwa nikiona watu wengi wanazungumzia kuwa wanaweza kumtrace mtu akiwa online ama kwa kujua IP address yake au Jina lake kamili, jina la kompyuta yake na vitu kama hivyo.
Sasa leo nilikuwa...
Wadau naomba kufahamishwa kidogo kuhusu ipad kwa lugha nyepesi tu achana ya ile ya kwenye website na ipi faida ya kutumia ipad ukilinganisha na Laptop?
Pia nimeona ipad kuna wanayosema 32Gb na...
Habari zenu wadau, nahitaji sana print management software, sasa hivi natumia CZ PRINT MANAGEMENT lakini ni trial version ina expire baada ya siku 30 kuna mtu yeyote mwenye suluhusho????
Astronomers Discover Planet Made of Diamond.
Astronomers have spotted an exotic planet that seems to be made of diamond racing around a tiny star in our galactic backyard.
The new planet is...