Hiyo dola saba unailipiaje?
mi niijuaa bureeeeeee...sasa sisi ambao hatuna hizo credit cards ambao benk zetu ni nmb na daresalam comunity bank si imekula kwet?....Wakuu sasa TBC iko mtandaoni pamoja na ITV kwenye tv africa
Cha kufanya nikudownload hako ka software kao na kudonate dola 7 kwa mwezi mzima.
Enjoy!!
Mkuu, hapo umesema sawia.Ni nzuri kwa walio nje ya nchi walau kupata habari za home bongo
Kwa tuliopo bongo ni maumivu plus mateso
Maana usd 7+bundle+slow connection, ni bora uweke star times au dish la bure
Wahuni hao, quality mbovu!Wakuu sasa TBC iko mtandaoni pamoja na ITV kwenye tv africa
Cha kufanya nikudownload hako ka software kao na kudonate dola 7 kwa mwezi mzima.
Enjoy!!
Napinga hiyo.. Quality sio mbovu ni nzuri kamaTV zenyewe zilivyo, pia inategemea na bandwidth ya internet connection yako. Hii service sio nzuri kama huko Tanzania, utakuwa hujitendei haki kuitumia,ni bora uweke Antenna tuu badala ya kumaliza vifurushi vya Internet ya manati. Hii service inawafaa sana walioko nje ya nchi ambao wanahitaji habari za nyumbani moja kwa moja. Huwa sioni mantiki mtu wa Dar kusikiliza clouds FM online halafu analalamika Internet iko slow! Ni bora kununua Radio ya mchina u-tune Clouds FM halafu utumie internet kwa mambo mengine kwa speed nzuri. Kwa hiyo kama huko Bongoni bora uweke Antenna tu utapata TBC wa nje wataitumia na kufurahia.Wahuni hao, quality mbovu!
Mkuu siandikii mateee!! sauti yake inakwaruza, haipo kama livestation.comNapinga hiyo.. Quality sio mbovu ni nzuri kamaTV zenyewe zilivyo, pia inategemea na bandwidth ya internet connection yako. Hii service sio nzuri kama huko Tanzania, utakuwa hujitendei haki kuitumia,ni bora uweke Antenna tuu badala ya kumaliza vifurushi vya Internet ya manati. Hii service inawafaa sana walioko nje ya nchi ambao wanahitaji habari za nyumbani moja kwa moja. Huwa sioni mantiki mtu wa Dar kusikiliza clouds FM online halafu analalamika Internet iko slow! Ni bora kununua Radio ya mchina u-tune Clouds FM halafu utumie internet kwa mambo mengine kwa speed nzuri. Kwa hiyo kama huko Bongoni bora uweke Antenna tu utapata TBC wa nje wataitumia na kufurahia.
Ni nzuri kwa walio nje ya nchi walau kupata habari za home bongo
Kwa tuliopo bongo ni maumivu plus mateso
Maana usd 7+bundle+slow connection, ni bora uweke star times au dish la bure
Hv ile rstp// link ya uncle rukus alotoaga ipo wap?! Ngoja niitafute niachane na huu wiz!
doller 7 si nalipia star tv nakula channel za kumwaga mpwa??
Mkuu siandikii mateee!! sauti yake inakwaruza, haipo kama livestation.com