msaada wa translation ya lugha kwa sauti

Gudasta

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
627
Reaction score
1,153
Ngudu wana technolojia, naomba kujua kama kuna software yoyote inayoweza kutafsiri kutoka lugha moja kwenda nyingine kwa sauti, namaanisha hivi kama nikiwa na audio file la kifrance au kijerumani nikiliplay kwenye hiyo software kama ipo basi nilisikie hilo file kwa lugha nayotaka kama kiingereza, aksante
 
ngoja tuwasubiri wataalam waje watujuze
 
Msaada jinsi ya kuweka frequency za Tv channel za Tanzania kama Tbc1 na frequency zake.
 
Back
Top Bottom