Root your mobile phone and enjoy

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,265
9,674
guys mm nime root simu yangu na nimeweza kuiwezesha simu yangu inayotumia android kuweza ku install applications kwenye memocard after kufanya partion kwenye memo card.
nlikuwa napata shida sana ya phone memory after downloading games sa nimesolve tatzo.
lakini naskia kuna mengi unaweza faidi uki root simu yako lakini mimi si mtaalam sana wa mambo haya bt nawe waweza jaribu kuifanyia simu yako
 

Cestus

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
987
131
Iongeze spidi kwa kuioverclock! Download SETCPU na uchague unataka i-run kwnye MHz ngapi au GHz....utapenda mwenyewe!
 

Cestus

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
987
131
Na kwa ambao hawajui kuroot,nenda market search Z4Root then install,ikifunguka weka Permanent Root,fuata simple prompt zitakazotokea,ikimaliza sim itajireboot,then nenda kwnye Menu ukiona icon ilochorwa fuvu na imeandikwa SUPERUSER ujue umefanikiwa! Happy Tweaking!!
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom