Kwa wapenzi wa mpira - Kuna option nyingine zaidi ya DSTV - Tuifanyie kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wapenzi wa mpira - Kuna option nyingine zaidi ya DSTV - Tuifanyie kazi

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tototundu, Aug 30, 2011.

 1. tototundu

  tototundu Senior Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wakuu, for once lets think outside the BOX!

  Kwani DSTV ndio option peke yake? DSTV hatuipendi kwa sababu gharama za ziko juu, kwa wapenzi wa mpira (latest movies na series una download kwa torrent), kama una contact person Europe au Dubai, tafuta dish kubwa (Linauzwa TShs 200,000 -300,000, kubwa zaidi ya lile tunalotumia kuangalia TBC1, Star TV, ITV etc) na decoder/receiver kama za Strong zinauzwa Kariakoo, ongea na jamaa zako walioko Dubai au Europe wakununulie Smart Card kama ile ya DSTV; msimu mzima, ligi zote kubwa gharama ni kama $150 tu.
  Anzieni hapa: https://www.lj-sport.com/onlinestore/agora.cgi

  Google thoroughly the needful, then tushare information/contacts - problem solved.
   
 2. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />

  Mkuu hiikitu dishi inatakiwa futi8 wanao ishi nyanda za juu haiwezekani molo--da,nk nikujivinjali kwakwenda mbele lisiva MPEG4 HD na kad ni dora 250 namda wa mwaka1 kuna chanel za fta zaidi ya 300 wanao ishi nyanda za juu dishi kujalibu futi 10
   
 3. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #3
  Sep 4, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,789
  Likes Received: 7,111
  Trophy Points: 280
  kuna abudhabi spoti pia liveeee ligi zote riyal 60 kwa mwaka, riyal moja kama 3800 mpaka 4000 so ni kama laki 200 mpaka 2 na nusu kwa mwaka inapatikana kidishi kidogo kama cha supersport
   
 4. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2011
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,806
  Likes Received: 1,053
  Trophy Points: 280

  sisi tusio na person contact uarabuni imeshakuwa haituhusu!
   
 5. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Utorrent ukubali na matrojan!!
   
 6. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Tatizo la channels nyingi za hawa waarabu zinakuwa in arabic language!
  Mtu unashindwa kuufahia mpira cuz unakuwa humuelewi commentator anazungumza nini.
   
 7. tototundu

  tototundu Senior Member

  #7
  Sep 5, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 193
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kama kuna mwana jf yuko arabuni anaweza akawa msaada, ndio maana ya kujiunga na community forums kama jf
   
 8. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #8
  Sep 5, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
   
 9. fxb

  fxb Senior Member

  #9
  Sep 8, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Du wadau hapo nimefurahi maana michezo napenda ila DSTV wanatulangua same channels kwa watni wa jadi bei ndogo kabisa:peace:
   
Loading...