Kioo cha Redmi 8.

Kioo cha Redmi 8.

Kwa uhakika agiza tu china aliexpress bongo utasota sana
 
Jaribu kuwaangalia jamaa wanajiita Simuhub Tz, wapo Instagram.
Wanadai wanazo accessories zote za Xiaomi, duka lao lipo China Plaza ghorofa ya pili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom