Naomba kuelekezwa jinsi ya kucheza hili game

Jbst

JF-Expert Member
Nov 29, 2020
1,924
3,951
Habari wakuu humu JF kuna wajuzi wa mambo mengi, naomba kuelekezwa jinsi ya kulifungua game hili la PPSSPP

Nimeshindwa kufungua na kuanza kulicheza.

Picha ya kwanza baada kufungua App inafunguka inakua hivo sasa namna ya kuanza ndo mtihani! Naona ni tofauti na magem mengine ya mpira.

Screenshot_20230327-221927_PPSSPP.jpg
Screenshot_20230327-222656_Game%20Launcher.jpg
 
Habari wakuu humu JF kuna wajuzi wa mambo mengi, naomba kuelekezwa jinsi ya kulifungua game hili la PPSSPP

Nimeshindwa kufungua na kuanza kulicheza.

Picha ya kwanza baada kufungua App inafunguka inakua hivo sasa namna ya kuanza ndo mtihani! Naona ni tofauti na magem mengine ya mpira.View attachment 2568079View attachment 2568080
Nenda Facebook kuna magroup mengi ya games join alafu uliza swali lako watakusaidia
 
Habari wakuu humu JF kuna wajuzi wa mambo mengi, naomba kuelekezwa jinsi ya kulifungua game hili la PPSSPP

Nimeshindwa kufungua na kuanza kulicheza.

Picha ya kwanza baada kufungua App inafunguka inakua hivo sasa namna ya kuanza ndo mtihani! Naona ni tofauti na magem mengine ya mpira.

View attachment 2568079View attachment 2568080
Ppsspp ni Emulator ina emulate games za psp, ili ucheze inabidi uwe na Emulator na Rom aka game lenyewe wewe hapo una emulator tu.

Download rom za psp hapa then fungua hio emulator kisha locate rom ucheze

Back
Top Bottom