Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Vita ya Teknolojia inazidi kushika Kasi Watanzania tukiendelea kujitesa kisa mapenzi, mavazi wenzetu wanazidi kuwa imara. Meta wametangaza vita dhidi ya Elon musk wa Kampuni ya Tesla. Kampuni...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Natafuta codes za simu tajwa hapo juu, Mwenye nazo aje tuyajenge, nakaribisha wadau wote
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau, Mwaka jana nilijikamua nkanunua kingamzi but mambo yameenda ndivo sivyo nkakosa hela ya kufungia. Sa ktk kupiga story jamaa akanambia ukipata maelezo mazuri waweza kufunga mwenyewe...
0 Reactions
10 Replies
20K Views
Wengi (sio wote) Uzi huu wala sina nia ya kuwaponda bali naweka tu awareness ya hali halisi, off course watabe wa IT wapo waliohitimu vyuo ila ni.wachache sana ukilinganisha na wengi ambao ni...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
Wakuu, Katochi kangu kameanguka na kupasuka kioo..Najua Kariakoositakipata kwahyo Nina mpango wa kuagiza China, wapi ni salama zaidi na uhakika kupata bidhaa kati ya Aliexpress na Kikuu...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Nime-refactorise simu yangu ajabu asilimia kubwa ya majina yaliyokuwa nimesevu kwenye email hayaonekani. Yamerudi machache sana. Tatizo litakuwa ni nini na je nifanyeje
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naombeni mnisaidie formula ya kurahisisha kupata haya majibu kwenye excel. Kila Box lina chupa 3, chupa 1 ni 0.1, chupa 2 ni 0.2, chupa 3 ni 0.3 sawa na box. 1 ni box moja, 1.1 ni box 1 na unit...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Habarini Ndugu Wanajf Baada Ya Uzi Wa Wa Biashara Ya Ufundi Simu Na Laptop https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1609441/ Nilipata Jumbe Nyingi Sana Kila Mtu Akihitaji Mwanga Wa...
32 Reactions
56 Replies
8K Views
Habari JF Members, Maendeleo na ukuaji wa teknolojia ya kimtandao unazidi kurahisisha huduma za mawasiliano hapa ulimwenguni kila kukicha. Hata uwe sayari gani kwa ulimwengu huu wa sasa, mtu...
1 Reactions
3 Replies
721 Views
Habari zenu, Nataka niongeze kipato nje ya mshahara wa ajira, nimeona nichote milioni 7 kwenye akiba nifungue biashara ya ps, gharama nilizopangilia, naombeni mnisahishe, kunishauri na mnipe...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika kipindi cha miaka 5 kumekuwa na ongezeko la Watumiaji 16,327,131 wa Huduma za Simu Nchini kutoka 47,685,232 mwaka 2019, sawa na 88% ya Idadi ya Watu hadi 64,088,651, sawa na 101.5% ya Idadi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naombeni msaada wa maelekezo, kwasasa nashindwa kabisa kushare doc za pdf, camscanner n.k via whatsap, tayari nimefanya update kwa application zote ila bado changamoto bado. Naomba msaada...
0 Reactions
1 Replies
421 Views
Kama ilivyo kwa vyombo vingine basi na hata rocket pia nayo hutumia engine ili iweze kufanikisha utendaji kazi wake na mara nyingi tumekuwa tukiziona tu nakuzichukulia kawaida sana bila kujua...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Matumizi ama daily usage ya mtandao wa Threads yameporomoka kwa zaidi ya 60%.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Msaada mwenye kujua android app ya uhakika ambayo itanisaidia kudownload mp3 music au videos mbalimbali kwenye simu. Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Kama wewe ni mtumiaji wa simu za Huawei ambazo hazisupport Google Apps kama Youtube, Playstore, nk, Nimetengeneza solution ya tatizo hilo kwa kukupa app ya Youtube inayofanya kazi vizuri bila...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu mambo vipii Naombeni mnisaidie majibu kwa wale ambao wameshatumia sim hizi zote mbili,nataka nijue kutoka kwenu sim ipi ni bora kati ya iPhone 12 plain na iPhone 11pro, kuanzia kwenye picha...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Wakuu nimejaribu kuclone app ya Threads kutumia Flutter. Nimeweka repository kwenye github yangu 👇 🔗 GitHub - heisabdallah/threads_clone: A cloned threads app Ya kushoto ni cloned version. Ya...
11 Reactions
69 Replies
6K Views
Wakuu ni hivi mwezi wa Tano mwisho Kila nikibinya button ya kudownload inkugoba kuendelea kwenye kupakua je ni tatizo la mda mfupi au ndio mabeberu wameamua kulinda teknolojia zao
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…