Tunapakia videos zetu YouTube ili zionekane kwa umma. Je, wapi tuweke Audios zetu ili umma uzisikilize?

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,699
9,778
Habari JF Members,

Maendeleo na ukuaji wa teknolojia ya kimtandao unazidi kurahisisha huduma za mawasiliano hapa ulimwenguni kila kukicha. Hata uwe sayari gani kwa ulimwengu huu wa sasa, mtu anawasiliana na wewe pasi na tabu yoyote ile.

Uwepo wa site ya YouTube umerahisisha namna videos zitawafikia watazamaji kiurahisi popote pale duniani. Systems kama vile ku-share links za videos na channel suscriptions zimeongezwa kwenye YouTube kwa lengo la kukuza ofanisi

Hivyo basi, ninapohitaji ku-share video yangu nitakimbilia YouTube

Je, nikihitaji ku-share Audio yangu (With no banned cover photo) niiweke kwenye site ipi (Global) yenye uwezo wa ku-generate link kwa ajili ya ku-share ili watu wa-visit kazi kwenye site hiyo na kuweza kupakua Audio husika?

Kwa ufupi:
YouTube for Videos, Which for Audio?
Msaada wakuu...
 
Audiomack
 
Apple podcast
 
Back
Top Bottom