iPhone 11 Pro vs iPhone 12 plain

Zombie S2KIZZY

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
823
1,613
Wakuu mambo vipii

Naombeni mnisaidie majibu kwa wale ambao wameshatumia sim hizi zote mbili,nataka nijue kutoka kwenu sim ipi ni bora kati ya iPhone 12 plain na iPhone 11pro, kuanzia kwenye picha ipi inatoa picha Kal kulko mwenzie na ni ipi performance yake ni nzur kwa matumiz ya Mtanzania.

NB: KISWAHILI KIELEWEKE SIJAULIZA KUHUSU ANDROID SO SITAKI COMMENT ZA OOH ANDROID FLAN NI NOMA SIJUI NINI NI NINI.

TUHESHIMIANE GUYS.

Screenshot_20230509-093413.png
Screenshot_20230508-202858_1.jpg
 
Nlshaona Kila kitu Hapa nataka tu maoni ya wabongo waliozitumia

Acha ubishi wewe. Kama umeona kila kitu lazima ungejua ni ipi inatoa picha nzuri kuliko nyingine na ni ipi inakaa na chaji kuliko nyingine na hayo matukizi mengine unayoyataka.

Mtu anaweza kukwambia 11 pro haikai na chaji kumbe ni kutokana na matumizi yake.! Au 12 haitoi picha nzuri kumbe ni setting zake tu.
 
M nakua na huko pote nmepita Ila cjawah kuztumia mm nataka maoni ya waliozitumia
Iphone 11pro Ina betr kubwa kuzd la iPhone 12 plain
Iphone 11 pro camera yake ni nzur kwny kuzoom Ila iphon 12 plain sio nzur kwenye zoom Ila inatoa picha hata kwny mwanga hafifu
 
Sawa mkuu ngoja waje.
Mimi nimetumia 11 plain na sasa nipo na 13 pro max. Ungeuliza hapa ningekushauri uchukue 11 plain. Ni simu nzuri sana picha hadi kukaa na chaji inatoboa hata siku 2.
 
Wakuu mambo vipii

Naombeni mnisaidie majibu kwa wale ambao wameshatumia sim hizi zote mbili,nataka nijue kutoka kwenu sim ipi ni bora kati ya iPhone 12 plain na iPhone 11pro, kuanzia kwenye picha ipi inatoa picha Kal kulko mwenzie na ni ipi performance yake ni nzur kwa matumiz ya Mtanzania.

NB: KISWAHILI KIELEWEKE SIJAULIZA KUHUSU ANDROID SO SITAKI COMMENT ZA OOH ANDROID FLAN NI NOMA SIJUI NINI NI NINI.

TUHESHIMIANE GUYS.

View attachment 2615338View attachment 2615337

Depends unataka nini. Iphone 12 ina umbo dogo kulinganisha na 11pro,
Iphone 12 ina kioo cha super retina, means ina display nzuri na bezels ndogo kuliko 11pro.
Battery wise 11pro ina battery kubwa na scree kubwa

Ila kwenye cpu 12pro ina 14bionic which speed ni two times kuliko 13bionic iliyoko kwenye iphone 11 pro
 
Sawa mkuu ngoja waje.
Mimi nimetumia 11 plain na sasa nipo na 13 pro max. Ungeuliza hapa ningekushauri uchukue 11 plain. Ni simu nzuri sana picha hadi kukaa na chaji inatoboa hata siku 2.
Ngj tu nchukue 11 pro kwa ushaur wako
 
Depends unataka nini. Iphone 12 ina umbo dogo kulinganisha na 11pro,
Iphone 12 ina kioo cha super retina, means ina display nzuri na bezels ndogo kuliko 11pro.
Battery wise 11pro ina battery kubwa na scree kubwa

Ila kwenye cpu 12pro ina 14bionic which speed ni two times kuliko 13bionic iliyoko kwenye iphone 11 pro
Asante
 
Mm natumia iPhone 12 Pro Max gb 256 kwenye swala la moto mm naona iko vizuri zaidi toka niinunue Mpaka leo ina betri asilimia Mia
iPhone 11 sio simu ya kununua chukua kuanzia pro na kuendelea ili ufaidi vitu vingi kama unaweza chukua kabisa 14 pro max
 
Oky mkuu
 
Depends unataka nini. Iphone 12 ina umbo dogo kulinganisha na 11pro,
Iphone 12 ina kioo cha super retina, means ina display nzuri na bezels ndogo kuliko 11pro.
Battery wise 11pro ina battery kubwa na scree kubwa

Ila kwenye cpu 12pro ina 14bionic which speed ni two times kuliko 13bionic iliyoko kwenye iphone 11 pro

Hapana kaka 12 ina umbo kubwa kuliko 11pro.
Maana ni muendelezo wa 11plain abayo ilikuwa na umbe kubwa kuliko 11pro.
So kila kitu ni bora zaidi kuliko 11pro,ingawa kama ni mshamba wa macho 3,12 ina mawili tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom