Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Icon inakaa vizuri kwenye desktop lakini inagoma kufunguka na kui-install, msaada plz-laptop ibm
0 Reactions
0 Replies
748 Views
'Santa' showers $100 bills on storm-hit NJ, NYBy By VERENA DOBNIK | Associated Press – 1 hr 30 mins ago Email Share Share Print Enlarge Photo Associated Press/Rich Schultz...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
wakubwa naombeni msaada wa haraka nokia yangu inanisumbua ku download inaniambia certificate expired
0 Reactions
6 Replies
1K Views
DNS poisoning is a fairly well-known and popular technique which is used to change the entries in the routing tables of the domain name system. Apparently by making use of this technique, an...
0 Reactions
0 Replies
989 Views
Kama hujakutana na hii better get it, google maps mod-signed navigation inawork hata bongo kwetu https://play.google.com/store/apps/details?id=com.google.android.apps.maps
0 Reactions
1 Replies
948 Views
Heshima mbele wakuu. Naomba mwongozo wa jinsi ya kujiunga kwenye internet kwa simu yangu hiyo. Nimejaribu sana kuomba mwongozo vodacom lakini wapi.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu,How do you do everyone? Nina simu N95. Ni wiki ya tatu sasa kila ninapotaka kubrowse kwenye Yahoo Mail(sign in), napata sms iyo hapo juu. Kwingne ina browse as usual. Ni tatzo la wote au...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajamvi ninatatizo kwenye laptop aina ya acer ispire 3100,upande wa kulia wa screen inch kama mbili kabla ya kufika ukingoni mwa screen kunakama giza(yaani screen kama imezidi upande wa kushoto...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WE ARE PROFESSIONALS IN GSM INDUSTRY FOR THE FOLLOWING SERVICES UNLOCKING ANY GSM PHONES IPHONES NOKIA SAMSUNG ALCATEL BLACKBERRY UNLOCKING ANY GSM MODEM ZTE HUAWEI VODAFONE...
0 Reactions
1 Replies
756 Views
Wakuu kwa wale waliokosa kaujanja ka kukwepa foleni za Dar, Just fungua web hii www.foleni.com then utaselect maeneo mbalimbali na kujionea jinsi foleni husika na real movements kwenye roads, the...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau habarini, naomba kujuzwa kama ninaweza kuretrive document yangu ilikuwa kwenye ms word nikaijaza then ghafla ili stuuck afu ikafunga, naweza kuipata tena ikiwa vile vile imejazwa? msaada ndugu!
0 Reactions
0 Replies
644 Views
jamani naomba msaada wa file la lenye lugha la english(gta iv,common,text) kwani la kwangu iko lugha moja tu ambayo ni russia......ambachao hata kukijua sikijui msaada. thanks in advance
0 Reactions
1 Replies
952 Views
nina laptop aina ya eMachines, tatzo lake ni kwamba inawaka tu kwenye screen but haioneshi maandishi japo mwanga upo nisaidien wapendwa maana kwenyee hard disc yake kuna vitu vya muhim nataka ku...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau niko na modem hapa ya airtel inaingia line zoote nimeinuua wiki 2 zilizopita, hawa jamaa wamezitangaza sana ooh zinakasi sana daah lakini Mungu wangu kumbe ni uzushi tu niko km kama 3 tu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanabodi kama kawaida sasa unaweza kusearch serials na Keygens simpe kwa kutumia Google Check below example open google.com Type in box. Ur software name 94FBR e.g = Avast 94FBR...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
If you want to know how to backup the Windows 8 registry, read this. 1. Open the registry editor. If you’re having problems, read our tutorial how to open the registry editor in Windows 8 2...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello, On behalf of NANOTECHNOLOGY PLATFORM, I would like to announce to you that we had meeting with COSTECH and discussed on the technology transfer, specifically of Nano Technology in the...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Inaitwa EmailTray Wadau hii software nimeipenda sana imenifanya niondokane na masaibu ya MS Outlook. Ina features nyingi sana. Inanipa notification nnapopata email mpya Unaweza ku set multiple...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Develop build and installation script. 2.Prepare Build Script Unit Test Cases and perform Build Script Unit Test. 3. Deploy verified packages to the target environment Wandugu, kazi hiyo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau naomben mnijuze tofauti kabla sjanunua Tv
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…