Email Tray (my best alternative to Outlook)

Nyasiro

Verified Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
1,208
Points
1,225

Nyasiro

Verified Member
Joined Feb 20, 2012
1,208 1,225
Inaitwa EmailTray

Wadau hii software nimeipenda sana imenifanya niondokane na masaibu ya MS Outlook. Ina features nyingi sana.
  • Inanipa notification nnapopata email mpya
  • Unaweza ku set multiple accounts (mimi nimeset email a/c kama nne hivi)
  • Unawe ku-import contact kutoka FB
  • Inaziarrange email vizuri sana sio kama outlook
  • Inatoa huduma nzuri kwa spam mails
  • Instant message search
  • n.k

Ijaribu mwenyewe uone EmailTray, an email client and email notifier for Windows and Android
 

Forum statistics

Threads 1,389,536
Members 527,958
Posts 34,027,547
Top