Wakuu,How do you do everyone?
Nina simu N95. Ni wiki ya tatu sasa kila ninapotaka kubrowse kwenye Yahoo Mail(sign in), napata sms iyo hapo juu. Kwingne ina browse as usual.
Ni tatzo la wote au? Je kuna mtu alishapata tatzo hilo? Unafanyaje?
Wataalam wa IT nisaidie.
Thank u for ur knd help