shikasana
Senior Member
- Dec 11, 2011
- 115
- 115
Wanajamvi ninatatizo kwenye laptop aina ya acer ispire 3100,upande wa kulia wa screen inch kama mbili kabla ya kufika ukingoni mwa screen kunakama giza(yaani screen kama imezidi upande wa kushoto na kuacha gep upande wa kulia),mara ya kwanza nilidhani ni screen resolution lakini haikuwa ivyo,nikafikiri labda screen imevia lakini pia haikuwa hivyo,Kwakuwa ni upande wa kulia (hizo nch2 vertically),nika hisi labda kuna namna ya kuadjast hiyo screen,naomba kwa anaye jua anisaidie.