msaada nokia e63 inanisumbua ku download inasema certificate expired

venant vincent

venant vincent

Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
49
Points
70
venant vincent

venant vincent

Member
Joined Feb 28, 2012
49 70
wakubwa naombeni msaada wa haraka nokia yangu inanisumbua ku download inaniambia certificate expired
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,791
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,791 2,000
kwanza jua hili. Kwenye simu yako ya nokia kuna kitu kinaitwa install-server hii kazi yake ni kukagua kila application inayoingia kwenye simu

then kuna kitu kinaitwa certificate hii ni ruhusa ambayo inakaa kwenye application ilotolewa na nokia kwa ajili ya kukaguliwa na installserver kabla application haijaingia kwenye simu.

So inaposema certificate expired ujue mlinzi anaekagua yaani installserver amekagua na kuona hio certificate ya application imeisha muda wake

sasa hapa kuna solution 2

kubadili tarehe
hapa tunaweza kubadili tarehe ya simu yetu kuirudisha nyuma ili kumdanganya mlinzi wetu (installserver) kua muda wa certificate haujaisha.

Hapa uta guess utaanza kurudisha mwaka nyuma. Mfano unaeka mwaka ni 2011 then unainstall ikikataa unarudisha mwaka 2010 unainstall tena hadi itakubali au itaandika certificate error.

tip ili kurahisisha kazi make sure file umelidownload na download manager kama opera au ucweb ili libaki kwenye simu muda wowote ukilitaka kuinstall ulipate.

kuhack simu
kama njia ya kurudisha miaka imefeli itabidi uhack simu au maana nyengine umbadili mlinzi installserver na kumueka mwengine ambae hakagui certificate
 
SuperImpressor

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
1,039
Points
1,195
SuperImpressor

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
1,039 1,195

Umesema vyema shida itakuja wakati anataka kutumia Opera mini itakwambia urekebishe kwanza tarehe. Niliwahi kudanganya hivyo kwe slvr l7 Opera mini ikawa inaFail na kuwa nzito hadi niliporudisha tarehe upya.
 
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
19,791
Points
2,000
Age
29
Chief-Mkwawa

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
19,791 2,000
Umesema vyema shida itakuja wakati anataka kutumia Opera mini itakwambia urekebishe kwanza tarehe. Niliwahi kudanganya hivyo kwe slvr l7 Opera mini ikawa inaFail na kuwa nzito hadi niliporudisha tarehe upya.
operamini ya j2me ndo inahitaji tarehe ila ya symbian haihitaji

anyway ni vizuri ukarudisha tarehe kama ilivokua
 
SHAROBALO

SHAROBALO

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2011
Messages
778
Points
250
SHAROBALO

SHAROBALO

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2011
778 250
search google symbian norton hack ni antivirus ya norton ambayo imewekwa install server na rom patcher ni easy threestep kuinstall hamna cha kubali tarehe wala nini...na simu yako haita dai certificate error wala upuuzi wowote...you got to own every thing

cheers!!
 
venant vincent

venant vincent

Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
49
Points
70
venant vincent

venant vincent

Member
Joined Feb 28, 2012
49 70
ahsante mkubwa ngoja nijaribu nitakuletea majibu
 
venant vincent

venant vincent

Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
49
Points
70
venant vincent

venant vincent

Member
Joined Feb 28, 2012
49 70
sawa wakubwa je apart from certificate expired inaniletea certificate error je nifanyaje???
 
Forum statistics

Threads 1,285,942
Members 494,834
Posts 30,879,945
Top