Vodacom na airtel modemu zenu zimewashinda??/

Eistein

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
1,107
1,195
Wadau niko na modem hapa ya airtel inaingia line zoote nimeinuua wiki 2 zilizopita, hawa jamaa wamezitangaza sana ooh zinakasi sana daah lakini Mungu wangu kumbe ni uzushi tu niko km kama 3 tu hivi toka moshi town soweto hapa, daaa modemu kimeo mpaka basi huwezi amini some time hata home page ya yahoo, au google, au jamiiforums inabidi uwait dakika 5, au ukomand mara sita sita... spidi ni ndogo mnoooo mwendo wa kinyonga.. dahaaaaa, nimenunua 5 GB ya voda kwa 20,000 hata najuta maana kama homepage tu ni shida kuopeni sembuse kuattach mafaili

Haya nilikuwa na ya voda hapa, ilikuwa fasta sana daah sasa hivi kwisha habari yake, sasa nimechukua line ya voda naweka kwenye hii ya airtel Mungu wangu mambo ni yeleyale.... hizi technologia naona ni uzushi tu, hawa Voda mawesifiwa sana, naona mgema amelitia maji..

1.Nishaurini cha kufanya nduguzanguni maana nimeshaenda hapo voda shop hapa moshi, wameichokonoa wee, lakini mambo ni yale yale
2. Kwa kweli kama kuna mtu wa voda au airtel awaambie hawo mafundi wao, kuwa wanachofanya ni dhambi kubwa sana ni sawa na wizi, maana umelipia huduma halafu huipati kulingana na thamani ya fedha uliyolipia ni sawa na wizi mtupu....hovyo kabisa haya mamitandao wizi mtupu
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
23,340
2,000
modem ni kama bomba

modem inapitisha internet

bomba linapitisha maji

sasa wewe fundi akikuambia kuna bomba zuri nene linapitisha maji mengi and then unakaa jangwani bomba lisipopitisha maji utamlaumu fundi kua kakudanganya bomba ni fake? Au utalaumu mamlaka inayotakiwa ikufikishie maji

modem zote mpya mitandao yote now ni 7.2 tigo voda na airtel lakini haimaanishi modem itakupa speed ni mtandao ndo utakupa so maybe eneo uliopo halikamati signal za 3g thats why

hebu angalia dashboard (software ya modem) ukiconect modem inaandika network gani kati ya hizi.
1.gprs
2.edge
3.wcdma
4.hspa
5.hdspa
6.umts
 
Kisali.TechnitianJr.

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
593
0
Kwanza ningependa kujtwambia kwamba mtandao wa 3G haupatikani kila sehemu nchini kwetu. Kama ukichomeka modem unaona 2G yaani EDGE ama GPRS. Lazima mtandao utakuwa chini, kama unatumia mtandao ktk laptop basi kjaribu kuhama kutoka eneo moja mpaka jingine mpaka modem itakapoonyesha WCDMA HSPA ama UMTS zikimaanisha umepata 3G. Kama upo ndani ya nyumba na bado unasumbuka basi jaribu kwenda nje na angalia mabadiliko. Ahsante na ukafanikiwe!:):):):thumbup::confused:
 
yuppie boy

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
216
0
Me natumia line ya voda kwenye modem ya airtel inapiga mzigo kama kawa na spd ya ukweli
 
Eistein

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
1,107
1,195
modem ni kama bomba

modem inapitisha internet

bomba linapitisha maji

sasa wewe fundi akikuambia kuna bomba zuri nene linapitisha maji mengi and then unakaa jangwani bomba lisipopitisha maji utamlaumu fundi kua kakudanganya bomba ni fake? Au utalaumu mamlaka inayotakiwa ikufikishie maji

modem zote mpya mitandao yote now ni 7.2 tigo voda na airtel lakini haimaanishi modem itakupa speed ni mtandao ndo utakupa so maybe eneo uliopo halikamati signal za 3g thats why

hebu angalia dashboard (software ya modem) ukiconect modem inaandika network gani kati ya hizi.
1.gprs
2.edge
3.wcdma
4.hspa
5.hdspa
6.umts

mkuu asante mtandao unaonyesha HSPA, but bado ni down,,some town huwa nakuwa town kabisa moshi clock tower hapo lakini bado shida iko palepale, je browers ninayotumia (Google chrome) yaweza kusababisha huu uslow...
thank kwa mchango wako kaka
 
Eistein

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
1,107
1,195
Kwanza ningependa kujtwambia kwamba mtandao wa 3G haupatikani kila sehemu nchini kwetu. Kama ukichomeka modem unaona 2G yaani EDGE ama GPRS. Lazima mtandao utakuwa chini, kama unatumia mtandao ktk laptop basi kjaribu kuhama kutoka eneo moja mpaka jingine mpaka modem itakapoonyesha WCDMA HSPA ama UMTS zikimaanisha umepata 3G. Kama upo ndani ya nyumba na bado unasumbuka basi jaribu kwenda nje na angalia mabadiliko. Ahsante na ukafanikiwe!

mkuu asante mtandao unaonyesha HSPA, but bado ni down,,some town huwa nakuwa town kabisa moshi clock tower hapo lakini bado shida iko palepale, je browers ninayotumia (Google chrome) yaweza kusababisha huu uslow..thank kwa mchango wako kaka
 
Kisali.TechnitianJr.

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
593
0
Jaribu kuangalia huenda kuna softwares ambazo zinatumia mtandao nyuma ya matumizi yako, angalia windows updates au antivirus
 
Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
5,617
2,000
Kwanza ningependa kujtwambia kwamba mtandao wa 3G haupatikani kila sehemu nchini kwetu. Kama ukichomeka modem unaona 2G yaani EDGE ama GPRS. Lazima mtandao utakuwa chini, kama unatumia mtandao ktk laptop basi kjaribu kuhama kutoka eneo moja mpaka jingine mpaka modem itakapoonyesha WCDMA HSPA ama UMTS zikimaanisha umepata 3G. Kama upo ndani ya nyumba na bado unasumbuka basi jaribu kwenda nje na angalia mabadiliko. Ahsante na ukafanikiwe!:):):):thumbup::confused:

Mkuu mimi nipo Kinondoni lakini bado sipati speed nzuri ingawa kwenye board napata WCDMA,HSPA natumia AIRTEL
 
Kisali.TechnitianJr.

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
593
0
Mkuu mimi nipo Kinondoni lakini bado sipati speed nzuri ingawa kwenye board napata WCDMA,HSPA natumia AIRTEL

Ni ajabu kusikia hivyo maana kinondoni 3G ipo vizuri sana ila angalia huenda kuna program ambazo zinatumia internet kwa chini yaani background. Pia unaweza kuangalia windows update pia kama inatumia mtandao hufanya ww kupata speed ndogo kabisa. Angalia na modem ama network drivers na hardwares pia huenda zinamatatizo:):thumbup:
 
Kisali.TechnitianJr.

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
593
0
Kwanza ningependa kujtwambia kwamba mtandao wa 3G haupatikani kila sehemu nchini kwetu. Kama ukichomeka modem unaona 2G yaani EDGE ama GPRS. Lazima mtandao utakuwa chini, kama unatumia mtandao ktk laptop basi kjaribu kuhama kutoka eneo moja mpaka jingine mpaka modem itakapoonyesha WCDMA HSPA ama UMTS zikimaanisha umepata 3G. Kama upo ndani ya nyumba na bado unasumbuka basi jaribu kwenda nje na angalia mabadiliko. Ahsante na ukafanikiwe!

mkuu asante mtandao unaonyesha HSPA, but bado ni down,,some town huwa nakuwa town kabisa moshi clock tower hapo lakini bado shida iko palepale, je browers ninayotumia (Google chrome) yaweza kusababisha huu uslow..thank kwa mchango wako kaka

Sidhani kama inaweza kuwa hivyo ila unapobrowse angalia kawindow ka modem kanaonyesha download na upload speed gani then utajua kama tatizo ni mtandao ama softwares za ndani ya pc yako
 
Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
5,617
2,000
Ni ajabu kusikia hivyo maana kinondoni 3G ipo vizuri sana ila angalia huenda kuna program ambazo zinatumia internet kwa chini yaani background. Pia unaweza kuangalia windows update pia kama inatumia mtandao hufanya ww kupata speed ndogo kabisa. Angalia na modem ama network drivers na hardwares pia huenda zinamatatizo:):thumbup:

Nashukuru mkuu kwa upande wa window update nimeiweka manual labda kuwa na kitu kingine kama ulivyosema underground kama kitu gani tena mkuu naomba ushauri wako kuhusu moderm nilishawahi kuipeleka Airtel ofisini wakaiupdate lakin bado tatizo aina ya moderm ni E15 3u -2 sio 3.75
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom