There's a Google Mail feature you have to use. Seriously. You must. Because copying an entire chain of messages after your reply doesn't make any sense when people can scroll down to see all the...
Nahitaj laptop 13" display 2GB RAM 320GB HDD (au hata 300GB HDD) with 3x3.0 USB ports And optical drive bila kusahau webcam na bluetooth. Iwe Toshiba au Acer kama sio HP (first-hand),
nina kama...
Ni jambo la busara na kimaendeleo kuona nchi inatoka kwenye mfumo wa digital na kuingia mfumo wa analogy ifikapo Dec, 30 lakini je wa TZ mnaufahamje huu mfumo maoni yako ni mhim sana?
Naam wapendwa wana JF, kwa mara nyingine tena nawaletea portable external Hard Drive mpya na za kisasa kabisa zinazo-support both USB 2.0 and 3.0. Jichagulie external yoyote utakayoipenda kati ya...
habari zenu,
Ingawa kuna mdau alitoa tips za kutofautisha kati ya fake na orignal,ila kuna baadhi ya sifa zipo kotekote mfano orignal iphone huwezi kutouch kwa kutumia plastic materialls ila kwa...
habari wakuu, kuna laptop yangu dell latitude d620, kioo kina mwanga tu na mistari, rang tofauti hakionyesh maandish mpaka niunge na screen nyengne. Tatizo ni nini?
Msaada tafadhali
Habari zenu wana jamii wenzangu ?
Katika matoleo mapya ya smart phones mfano (HTC, iPHONES, NOKIA LUMIA) n.k. zinatumia micro sim card
yaani SIM CARD ndogo kuliko ile standard size tuliyozoea...
CLICK HERE TO DOWNLOAD Windows 8 Final Pro . Size=2.42GB Tumia Tixati au uTorrent kudownload hiyo kitu ili tuweze kupata seeds na peers nyingi kwa manufaa ya wote kumbuka hii kitu iko na key...
Wakuu kuna mtu kaniambia Zantel wana kifurushi cha TSH 20,000/-kwa mwezi unlimited. Lakini nimecheck kwenye web yao sijaona kitu kama hicho.Kwa kuwa najua kuna watumiaji wa Zantel wengi humu...
wakuu heshima zenu,,,kwanza ni kwamba kuusiana na hiyo issue na access free au?na nilazima niwe connected na net ya modem?na je nilazima hiyo modem iwe na hela?
mwaweza kudadavua zaidi
Habari zenu jamani,naomba mnifahamishe tofauti za service ya CRDB ya sim banking na internet banking coz nimeenda kuomba form ya Internet banking jamaa akanipa ya Sim banking na nikimwambia...
kila ninapofungua jamiiforums kupitia compyuta inakuwa slow sana kuload. Yani ninapofungua thread inachukua dakika 10 mpaka 15 kufunguka, ila ninapotumia simu sipati tatizo lolote. Nimeliona hilo...
Home - Free Fax to Email Numbers Tanzania. Free for life! Get Yours today! nilikuwa napitia pitia hapo nikakutana na hili la fax number bure toka ttcl bila ya kuhitaji fax machine nadhani ubunifu...