msaada laptop

sky_haf

JF-Expert Member
Oct 7, 2012
220
23
habari wakuu, kuna laptop yangu dell latitude d620, kioo kina mwanga tu na mistari, rang tofauti hakionyesh maandish mpaka niunge na screen nyengne. Tatizo ni nini?
Msaada tafadhali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom