Msaada jamani!!!

Hinfay

Member
Joined
Jan 13, 2012
Messages
33
Points
0

Hinfay

Member
Joined Jan 13, 2012
33 0
Habari zenu jamani,naomba mnifahamishe tofauti za service ya CRDB ya sim banking na internet banking coz nimeenda kuomba form ya Internet banking jamaa akanipa ya Sim banking na nikimwambia anasema ndio hiyohiyo.
 

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Messages
21,807
Points
2,000

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined May 25, 2011
21,807 2,000
wale customer care wazush vitu vingi hawavijui kunakua na wale wanaohudumia special case ikitokea swali limewashinda customer care wafate wale.

Mara nyingi wao wanakua wamekaa kwenye kiti kando, hawa pia ndo wanakua wanatoa card ya atm ukirenew
 

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Messages
1,163
Points
1,250

SuperImpressor

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2012
1,163 1,250
Si mnajua siku hizi hata binti akishinda umisi anapewa kazi hata kama hana experience na haya nilikuwa nakutana nayo kwa watoa huduma mitandao ya simu yaani hawajui lolote
 

networker

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Messages
576
Points
225

networker

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2011
576 225
kuna tofauti kati ya hizo mbili binafsi natumia zote mbili simbanking una pata huduma kupitia simu yako kwa kubonyeza *150*03 reli unapata menu kama zinazo patiakan katika Atm kujua salio kuona kuona transaction zako pia unaweza jitumia hela mpesa kujiunga lazima uwe ume update details zako za benki na uweke namba ambayo ndio itakuwa verified kuweza kupata hii huduma ya sim banking ukijaza form leo after three days inakuwa tayari kujiunga una bonyeza hizo namab hapo juu unafata instruction tayari.kwa internet banking yenyewe hautumi simu bali computer ingawa hata kwenye simu una weza fungua internet unajaza form amabyo uta tick vitu unavyo taka viwepo kwenye menu yako mfano bulk transfer,sytm ya kulipa mishara sikumbuki vizuri then una rudisha form unaweza jaza hapo hapo haina complication hiyo form wata itaji namba ya simu inayo patikana na email address bada ya three days utatumiwa msg na email yeneye password na user name na link ya kukupeleka kwenye login area itakutaka ubadili password ukimaliza inafunguka una ona kiwango cha hela zako na menu ulizo zitiki kwenye ile karatasi ya maombi na na sehmu ya kuona transaction ...kiufupi ni hivyo form una jaza mbili tofauti kwenye haya maswala kuna form ya ku update amabyo ndio una weza weka namba ya simu uatakao tumia simbaking pia kuna form nyingine ya kuruhusu account yako iweze nunua na kuza vitu online,pia kuna form ya internet banking unafanya transaction zako over the internet....ila take care wanakata sana kwenye hizi huduma
 

Forum statistics

Threads 1,392,768
Members 528,684
Posts 34,117,507
Top