Jipatie external Hard Drive hizi kwa bei nafuu kabisa


Michael Amon

Michael Amon

Verified Member
Joined
Dec 22, 2008
Messages
8,764
Points
2,000
Michael Amon

Michael Amon

Verified Member
Joined Dec 22, 2008
8,764 2,000
Naam wapendwa wana JF, kwa mara nyingine tena nawaletea portable external Hard Drive mpya na za kisasa kabisa zinazo-support both USB 2.0 and 3.0. Jichagulie external yoyote utakayoipenda kati ya hizi zifuatazo na mara baada ya kuchagua wasiliana na mimi mara moja ili tuweze kufanya biashara.

Western Digital My Passport - 1TBSpecifications

  • Interface: USB 3.0 and USB 2.0
  • Transfer Rate:Serial Bus Transfer Rate (USB 3.0) 5Gb/s Max
  • Capacity: 1TB
PRICE - TZS.250,000

Western Digital My Passport - 750GBSpecifications

  • Interface: USB 3.0 and USB 2.0
  • Transfer Rate: Serial Bus Transfer Rate (USB 3.0) 5Gb/s Max
  • Capacity: 750GB
PRICE - TZS.190,000


NB: Hard Drives zote hapo juu ni mpya kabisa, portable na zina waranty ya mwaka mmoja. Kwa wale ambao wako nje ya Arusha tunaweza kusafirishia bidhaa zao kwa njia ya EMS ambayo ni ya haraka, nafuu na salama kwa gharama ya TZS.15,000 tu.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kupitia anwani zifuatazo:
Mobile: +255789 884 221
E-mail: meezy@youngmaster.co.tz
 
Michael Amon

Michael Amon

Verified Member
Joined
Dec 22, 2008
Messages
8,764
Points
2,000
Michael Amon

Michael Amon

Verified Member
Joined Dec 22, 2008
8,764 2,000
no disrespect or anything, ila hizo product zote zinapatikana madukani kwa 60K less to the prices you gave, meaning hio 750Gigs ipo 4 just 125-130K na 1tb 4 190K. Wat i'm saying ucangalie only your side jali na wateja ili upate even more people. Thank u
Aisee...kwa hiyo price uliyoweka yani ni bei ya kununulia tu. hupati fiada hata shilingi kumi. I think you should do the analysis before commenting usije ukapotosha jamii kwa information ambazo si za kweli...Labda hizo bidhaa ambazo umezitaja wewe sio Original Western Digital and maybe ni mchina.
 
High Vampire

High Vampire

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Messages
2,065
Points
1,250
High Vampire

High Vampire

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2012
2,065 1,250
tulioko mwanza tutakupataje?
 
Michael Amon

Michael Amon

Verified Member
Joined
Dec 22, 2008
Messages
8,764
Points
2,000
Michael Amon

Michael Amon

Verified Member
Joined Dec 22, 2008
8,764 2,000
tulioko mwanza tutakupataje?
Mkuu mwanakungumbala tafadhali naomba tuwasiliane kupitia PM au kwa e-mail address unayoiona hapo juu ili niweze kukupa maelekezo na ili tuweze kufanya biashara.
 
Last edited by a moderator:
G.T.L

G.T.L

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Messages
351
Points
250
G.T.L

G.T.L

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2012
351 250
Mkuu, nnaweza pata Unlocked 3G Vodacom Modem?
 
Mpitagwa

Mpitagwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2012
Messages
2,342
Points
1,500
Age
44
Mpitagwa

Mpitagwa

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2012
2,342 1,500
Reasonable price for the good product. mimi nataka harddisk ya kuweka kwenye laptop nitapata kwa bei gani?
 
Michael Amon

Michael Amon

Verified Member
Joined
Dec 22, 2008
Messages
8,764
Points
2,000
Michael Amon

Michael Amon

Verified Member
Joined Dec 22, 2008
8,764 2,000
Reasonable price for the good product. mimi nataka harddisk ya kuweka kwenye laptop nitapata kwa bei gani?
Nashukuru kwa kuwa na interest ya kutaka kununua bidhaa kutoka kwetu...ila nasikitika kukutaarifu kuwa kwa sasa hatuna hard disk za kawaida tuna external hard drive tu. kama utahitaji external tafadhali usisite kuwasiliana nami kupitia anwani unazoziona hapo juu.
 
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
3,235
Points
1,195
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined Sep 1, 2011
3,235 1,195
Reasonable price for the good product. mimi nataka harddisk ya kuweka kwenye laptop nitapata kwa bei gani?
Kama hutapata na upo dar utanijulisha nitakuletea, niambie size/GB na Aina ya hdd unayotumia/hitaji kama ni sata au IDA.
 

Forum statistics

Threads 1,283,508
Members 493,720
Posts 30,792,203
Top