pd proxy tujadili

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,724
2,000
wakuu heshima zenu,,,kwanza ni kwamba kuusiana na hiyo issue na access free au?na nilazima niwe connected na net ya modem?na je nilazima hiyo modem iwe na hela?

mwaweza kudadavua zaidi
 

BobKinguti

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
228
225
wakuu heshima zenu,,,kwanza ni kwamba kuusiana na hiyo issue na access free au?na nilazima niwe connected na net ya modem?na je nilazima hiyo modem iwe na hela?

Mwaweza kudadavua zaidi

hii pd proxy ni tunnel software lengo lake kubwa ni kuficha your identification while surfing kwa kukupa ip nyingine tofauti na ile ya your isp. Suala la kuaccess free net, it is not their primary goals, ingawa kipindi fulani hapa kwetu tz kupitia mtandao fulani hii pd proxy ilitumika kuwapa watu access ya free net. Kwasasa hii trick is no longer valid. Pamoja na hayo, wadau wengi wanaamini waliotia kitumbua mchanga ni members wapya waliojiunga mwaka huu 2012(samahani kwa wasiohusika). Kwamisingi hiyo bado hapa jf si sehemu salama ya kupeana maujanja hadharani. Watu wanaenda kwa mwendo wa pm, na lazima wenye maujuzi yao wahakiki uanachama wako umeanza lini na vigezo na masharti mengine kuzingatiwa maana isije ikawa na wewe ni shushushu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom