Mirco SIM CARD For Smart Phones !!


mathcom

mathcom

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
1,401
Points
1,195
mathcom

mathcom

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
1,401 1,195
Habari zenu wana jamii wenzangu ?
Katika matoleo mapya ya smart phones mfano (HTC, iPHONES, NOKIA LUMIA) n.k. zinatumia micro sim card
yaani SIM CARD ndogo kuliko ile standard size tuliyozoea!

Swali langu ni kwamba "Jee makampuni ya simu (tigo,voda,airtel and zantel) hapo Tanzania wanazo card za aina hiyo?"

Kama kuna mdau anaelewa au alishawahi kupatiwa huduma kama hiyo, naomba alipatie jibu!

Ahsanteni sana, nami nasubiri..
 
zenmoster

zenmoster

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Messages
952
Points
195
zenmoster

zenmoster

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2011
952 195
Unaongelea micro sim wakati iphone 5 inatumia NANO simu card ndo zaidi ya hapo...na tigo wanazo tayari
 
Kang

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Messages
5,307
Points
2,000
Kang

Kang

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2008
5,307 2,000
Hizi zote ni sim card zile zile sema zimekatwa ile plastiki extra ambayo haina kazi, so sim card yoyote inaweza kubadilishwa kuwa micro au nano kwa kuikata mwenyewe, unaweza kukata na mkasi au kutumia cutters maalumu ambazo zinapunguza uwezekano wa kukosea. 
mathcom

mathcom

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
1,401
Points
1,195
mathcom

mathcom

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
1,401 1,195
Hizi zote ni sim card zile zile sema zimekatwa ile plastiki extra ambayo haina kazi, so sim card yoyote inaweza kubadilishwa kuwa micro au nano kwa kuikata mwenyewe, unaweza kukata na mkasi au kutumia cutters maalumu ambazo zinapunguza uwezekano wa kukosea.Nimekuelewa mkuu, kwahiyo hizo cutters zinapatikana tz au tubebe za akiba !!
 
deom2i

deom2i

Member
Joined
Jan 24, 2011
Messages
25
Points
0
deom2i

deom2i

Member
Joined Jan 24, 2011
25 0
Bora ununue sim cutter.
TZ watu wanacut kwa T.sh 10,000 utafikiri wanazitengeneza hizo sim card kumbe wanazipunguza tu!!
 
S

Soki

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Messages
1,307
Points
1,195
S

Soki

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2011
1,307 1,195
Hizi zote ni sim card zile zile sema zimekatwa ile plastiki extra ambayo haina kazi, so sim card yoyote inaweza kubadilishwa kuwa micro au nano kwa kuikata mwenyewe, unaweza kukata na mkasi au kutumia cutters maalumu ambazo zinapunguza uwezekano wa kukosea.Yangu nilichonga tuu na wembe!! Iko safi kabisa!!!
 
Zeddicus Zu'l Zorander

Zeddicus Zu'l Zorander

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Messages
575
Points
250
Age
69
Zeddicus Zu'l Zorander

Zeddicus Zu'l Zorander

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2011
575 250
Jains Hana ya kulipia Hiyo 10000 kwasababu hata yangu nilichonga mwenyewe ...
 
deom2i

deom2i

Member
Joined
Jan 24, 2011
Messages
25
Points
0
deom2i

deom2i

Member
Joined Jan 24, 2011
25 0
Mi niliwaka mpaka wakachonga bure, yani vodacom kabisa wanadai elfu 10,000.
Hata aibu hawana....hizi njaa bwana. Elfu kumi kabisaaa! Hehehheeee. :banghead:

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk 2
 
Inkoskaz

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2010
Messages
6,358
Points
1,500
Inkoskaz

Inkoskaz

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2010
6,358 1,500
In future all sim cards will be micro sized
je unakumbuka scratch card za zamani... It was wastage of resources
 

Forum statistics

Threads 1,285,685
Members 494,726
Posts 30,870,248
Top