internet speed up ya win 8 64 bit

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,724
2,000
kama kuna mwenye link ya internet speeed yenye '''sping net''' option atupie hapa kwa manufaa yetu sote


shukrani
 

Kiranga

Platinum Member
Jan 29, 2009
59,750
2,000
Unachotaka kufanya ni nini? Maana internet speed inategemea vitu vingi ambavyo si OS.

Inategemea connection unayotumia ni ya teknolojia gani, provider wako anaruhusu speed kiasi gani, memory yako, browser settings, network topology, firewall/proxy/antivirus settings etc.

Sasa mtu akikwambia mie speed yangu hii, fast au slow, bila kuangalia mambo yote haya huwezi ku judge kwamba OS ndo imesababisha hii speed kuwa fast au slow.

Kuna mengi tu.

Kabla ya kufanya experiment ni muhimu ku set control environment/ factors ili experiment iwe meaningful. Vinginevyo utakuwa unaanza vibaya.

Mtu yuko Lindi huko ISP wake ana speed za kobe, anakupa speed zake slow, unalaumu OS wakati tatizo ISP.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom