msaada

Makirita Amani

JF-Expert Member
Jun 6, 2012
1,764
2,985
kila ninapofungua jamiiforums kupitia compyuta inakuwa slow sana kuload. Yani ninapofungua thread inachukua dakika 10 mpaka 15 kufunguka, ila ninapotumia simu sipati tatizo lolote. Nimeliona hilo tatizo pia kwenye site zingine za tz kama milard ayo huwa inanichukua muda sana kufungua. Ila site zingine hasa za nje sipati tatizo lolote, natumia internet ya vodacom ambapo huwa inafika mpaka 2mbs. Naombeni msaada tatizo linaweza kuwa nini?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom