Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

kiukweli napataga taabu sana sijui ni kwanini nina note book aina ya accer yani tatizo lake kubwa haisomi any device ya usb na flash hapo siku za nyuma kidogo ilikuwa inakubali kusoma modem na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa siku za hapo nyuma, CITIZEN TV ilikuwa ikipatikana katika INTELSAT 7/10,KU ktk Frequency 12.578 v3.100. Lakini kwa sasa haipatikani kabisa,je kuna mtu yeyote anafahamu iwapo wamebadili Frq?
0 Reactions
2 Replies
953 Views
heshima mbele wana jamvi Wakuu wenye utaalam na haya makitu ya hizi modemu zinazotumia line za aina zote ie tigo,zantel,vota,airtel etc zimekaaje kwenye matumizi. Uwezo wake ukoje? Dowmload and...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ndg wanaJF nahitaji kununua Galaxy Tab Sumsung model: GTP1000M vp iko poa? Tafadgali UWANJA WENU.
0 Reactions
1 Replies
820 Views
Tangaza Marketing Solutions(TMS): Ni Kampuni inayojihusisha na Advertising,Marketing & Promotions. Pia ni wakala wa Renew Earth Technology(RET) kwa ajili ya kutoa huduma ya ulinzi wa simu na...
0 Reactions
3 Replies
952 Views
Natumai hamjambo,tafadhali naombeni msaada kwa aliye na software ya risiva aina ya Mediacom Mft930 plus ya Korea.
0 Reactions
1 Replies
839 Views
Nipo kati kati ya mawazo mawili kati ya simu hizi Huawei ascend Y200 ya tiGO na ipod touch 8gb fourth generation nataka kununua moja wapo ila cjui ipi ni bora zaidi feature na utendaji kwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
By Happy Lazaro and Joseph Lyimo,Confusion reigns among residents of Arusha of what exactly will happen when Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) honors its deadline for the...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
To the moon? Firm hopes to sell $1.5 billion tripsBy By SETH BORENSTEIN | Associated Press – 6 hrs ago Enlarge Gallery A penumbral eclipse of the moon is seen in the night sky in...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nimejaribu keys tofauti nilizogoogle zinanikatalia pls msaada kwa anayeweza kunipatia itakayokubali, hii programme nilipodownload walinipa na key zake nikasahau kuzikopy, sasa nashndwa kutrace
0 Reactions
5 Replies
3K Views
0 Reactions
0 Replies
670 Views
habari! naomba msada modem ya cdma model ec122 inawezekana kua unlocked? kama inawezekana naombeni mnifahamishe wenye uwelewa wa hii kitu natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wadau naomba kuuliza nitawezaje kuzuia email msgs za facebook ninaztumiwa inboz zisilete email kwenye email ya yahoo? na kama nikitaka kurudisha pia nafanyaje msaada wenu wana JF
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari yenu wanaJamii, Ninawazo lakukutana na watu ambao tutakubaliana nao kuweza kubrainstorm na kutafuta solutions ya matatizo mbalimbali ambayo yanaizunguka jamii yetu kwa ujumla. Nimetarget...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu wana jf, naomba Msaada wenu kuhusu hili, Nina mpango wa kununua iPad 4 retina display, naomba kujua Kama inauwezo wa kutumia 3G Internet , maana kwa nilivyoisoma yenyewe ina 4G+cellular...
0 Reactions
1 Replies
680 Views
AntiVirus guru hits rock bottom after fleeing murder charge John McAfee, 67, has apparently successfully managed to dodge Belizean police for a second day after he was implicated in the...
0 Reactions
2 Replies
933 Views
wadau msaada wa hiyo kitu, nimejaribu kupitia thread zilizopita sijapata active link, msaada pls
0 Reactions
2 Replies
1K Views
The moon took quite a beating in its early days, more than previously believed, scientists reported Wednesday.This surprising new view of the moon comes from detailed gravity mapping by twin...
0 Reactions
0 Replies
677 Views
Nimekuwa nikisikia huku mtaani ya kwamba betri za simu zinazotengenezwa na Tekno ni imara (zinakaa na chaji kwa muda mrefu) ikilinganishwa na betri za Nokia. Naomba kujuzwa je kuna ukweli wowote...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Jama android imenishinda kurusha nyimbo kwa kutumia broototh kwasab katika music naona optiotion za kuplay tu! Msaada plz
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…