huawei ec122 cdma modem

huawei ec122 cdma modem

danali

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Posts
1,135
Reaction score
1,675
habari! naomba msada modem ya cdma model ec122 inawezekana kua unlocked? kama inawezekana naombeni mnifahamishe wenye uwelewa wa hii kitu
natanguliza shukrani
 
hiyo hata uki unlock huwezi tumia line za kawaida mpaka zile za sasatel, zantel na ttcl tu..
 
Back
Top Bottom