Kwa siku za hapo nyuma, CITIZEN TV ilikuwa ikipatikana katika INTELSAT 7/10,KU ktk Frequency 12.578 v3.100. Lakini kwa sasa haipatikani kabisa,je kuna mtu yeyote anafahamu iwapo wamebadili Frq?
Mbona inapatikana hata jioni hii nilikuwa naiona.
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us