Msaada kati ya Simu Hizi wenye UJuzi

Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
3,097
2,000
Nipo kati kati ya mawazo mawili kati ya simu hizi

Huawei ascend Y200 ya tiGO na ipod touch 8gb fourth generation

nataka kununua moja wapo ila cjui ipi ni bora zaidi feature na utendaji kwa ujumla
hiyo ipod ni used tayari. Help pls kwa wanaozijua vema
 
john hotsam da1

JF-Expert Member
Feb 4, 2012
396
225
ipod touch siyo simu.huwa inawekwa kwenye kundi la tablets,binafsi nnaona kama una simu kama hiyo ascend inayo-play video,mp3 na ina camera,sioni haja ya kua na ipod ambayo hutaifaidi kama hauna itunes installed to your pc+internet access AU access ya wireless fiderity direct to your iPod.labda kama unahitaji kuwa na vyote viwili
 
Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
3,097
2,000
ipod touch siyo simu.huwa inawekwa kwenye kundi la tablets,binafsi nnaona kama una simu kama hiyo ascend inayo-play video,mp3 na ina camera,sioni haja ya kua na ipod ambayo hutaifaidi kama hauna itunes installed to your pc+internet access AU access ya wireless fiderity Apple_iPod_Touch_5thgeneration_35440713_35453091_01_620x433[1].jpg
 
deogan

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
403
225
Nipo kati kati ya mawazo mawili kati ya simu hizi

Huawei ascend Y200 ya tiGO na ipod touch 8gb fourth generation

nataka kununua moja wapo ila cjui ipi ni bora zaidi feature na utendaji kwa ujumla
hiyo ipod ni used tayari. Help pls kwa wanaozijua vema

Ipod siyo simu, haina line inatumia wireless
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,789
2,000
chukua hiyo huawei ni nzuri maana ni simu hutapata shida yakununua accessories zingine..
 
john hotsam da1

JF-Expert Member
Feb 4, 2012
396
225

Ahasante mkuu ila sijakuelewa hapa, sio simu nzuri au sio simu ukimaanisha ni kitu tofauti na simu. angalia hiyo picha ya ipod touch 8gb fourth generation nina i attach..help again pls[/COLOR]

View attachment 73867

yah,iPod sio simu,ila ni kifaa watu huangalia videos,kuplay musics,some games,na application nyingine za kufanana na simu(hasa iPhone),ukiwa na ipod hutaweza kupiga simu wala kutuma msg kwa njia ya kawaida(sms) kwa maana haiwekwi simcard ila utaweza kupata internet kwa njia ya wireless.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
27,410
2,000
dah mkuu kikawaida nunua huawei but umenishtua kufananisha it seems kama vile bei zinalingana ujue. Kama bei zinalingana nakushauri nunua ipod uza then utapata hela nyingi nunua hata galaxy s series au lumia yoyote.

Maana huawei hio ni 175,000 tigo wakati hio ipod dukani si chini ya laki 4 sjui umenipataaaaaa
 
Watu8

Platinum Member
Feb 19, 2010
60,653
2,000
dah mkuu kikawaida nunua huawei but umenishtua kufananisha it seems kama vile bei zinalingana ujue. Kama bei zinalingana nakushauri nunua ipod uza then utapata hela nyingi nunua hata galaxy s series au lumia yoyote.

Maana huawei hio ni 175,000 tigo wakati hio ipod dukani si chini ya laki 4 sjui umenipataaaaaa

Kama anataka simu nzuri hiyo Ascend ya Huawei/tiGO ina specs za chini sana kaka...the real Ascend of the same model na hii ya tiGO ipo juu ila hawa Wamatumbi tiGO wamecustomize ili iweze kuuzika kwa unafuu(marketing strategies)
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom