Naomba kujua juu ya HSDPA UNIVERSAL MODEMS.

Mamaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
4,149
2,125
heshima mbele wana jamvi
Wakuu wenye utaalam na haya makitu ya hizi modemu zinazotumia line za aina zote ie tigo,zantel,vota,airtel etc zimekaaje kwenye matumizi. Uwezo wake ukoje? Dowmload and upload speed,je zina tofauti gani na hizi wanazouza voda or tigo etc zinazoingia laini, lainiz ao tu,wakuu nijuzeni nataka ninunue ila sina exprince nazo
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,774
6,527
hiyo ni 3G internet speed na pia inauwezo wakufikia mpaka 7.2Mbps hiyo ni speed rate ya kudownload ambapo kibongobongo mpaka uwe kwenye eneo ambalo 3G haisumbui ndio utapata speed nzuri na kufurahia modem yako..
 
Mamaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
4,149
2,125
hiyo ni 3G internet speed na pia inauwezo wakufikia mpaka 7.2Mbps hiyo ni speed rate ya kudownload ambapo kibongobongo mpaka uwe kwenye eneo ambalo 3G haisumbui ndio utapata speed nzuri na kufurahia modem yako..

mkuu hebu nieleze vizuri,hazina matatizo matatizo kama zilivyo simu za mchina?
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
27,915
31,875
kila modem na aina yake kama zilivo modem za mitandao na universal zipo hivo aina zinafanana kama ni huawei e173 zipo za mitandao na universal quality inafanana na kila kitu. Tofauti ni machata tu universal hazina chata na za mitandao zina chata.
 
Mamaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
4,149
2,125
Shukran wakuu wacha nikamate mzigo,kuchakachua modems nimechoka.
 
Paje

JF-Expert Member
Apr 24, 2010
1,185
453
modem ulizozichakachua zote zimeharibika? au umechoka kwa maana gani? kama ulivyoambiwa zote ni kitu kile kile ila kwa experience yangu hizi wanazoziita universal wanaziuza bei ya juu. na hizi zenye ma chata ya tigo, voda, airtel etc zipo bei ya chini......
 
zipo mkuu zinauzwa kuanzia elf 35
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
27,915
31,875
zipo mkuu zinauzwa kuanzia elf 35

mkuu taja aina ya modem maana kibongo bongo modem za 3.6mbps ya bei ghali sana ni 30,000 zipo hadi za elf 15 na 20 ila hizi zinazouzwa 30,000 hadi 35,000 ni za 7.2mbps. So itakua haina maana kununua ya 3.6 mbps kwa 35,000 wakati zipo za 7.2 mbps
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,774
6,527
mkuu taja aina ya modem maana kibongo bongo modem za 3.6mbps ya bei ghali sana ni 30,000 zipo hadi za elf 15 na 20 ila hizi zinazouzwa 30,000 hadi 35,000 ni za 7.2mbps. So itakua haina maana kununua ya 3.6 mbps kwa 35,000 wakati zipo za 7.2 mbps

kweli kabisa mkuu..
 
Mamaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
4,149
2,125
mkuu taja aina ya modem maana kibongo bongo modem za 3.6mbps ya bei ghali sana ni 30,000 zipo hadi za elf 15 na 20 ila hizi zinazouzwa 30,000 hadi 35,000 ni za 7.2mbps. So itakua haina maana kununua ya 3.6 mbps kwa 35,000 wakati zipo za 7.2 mbps

mkuu nashukuru kwa kunialert hili,hizi za buku 35 nimeona kwenye tangazo moja lilikuwa kwenye page ya jf DISCOUNT KUBWA. nilipoingia kwenye site yao wameelekeza wanapatikana kkoo ila sijajua uwezo wa hzo modems ndio maana nikaanza kuulizia wenye exprnc na hizo modem malaya.
 
Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
27,915
31,875
Utajuaje hii ni 3,6mbps au 7,2mbps

1. Inaweza kuandikwa kwenye box speed
1326046014_297857089_1-ALL-New-Huawei-Universal-E173-with-airtel-in1300-Only-Call-9890423610-Manewada.jpg

2. Kwa kuwauliza watu walokuuzia (japo wengine hawajui)

3. Kuigoogle kwenye internet hio aina ya modem
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom