Nimekuwa nikisikia huku mtaani ya kwamba betri za simu zinazotengenezwa na Tekno ni imara (zinakaa na chaji kwa muda mrefu) ikilinganishwa na betri za Nokia.
Naomba kujuzwa je kuna ukweli wowote juu ya hilo? Nataka kununua betri za Tekno kwa ajili ya kutumia kwenye simu za Nokia.