wajamenii wajameni embu angalieni wenyewe!!!

dodoso33

Member
Oct 9, 2012
38
0
kiukweli napataga taabu sana sijui ni kwanini nina note book aina ya accer yani tatizo lake kubwa haisomi any device ya usb na flash hapo siku za nyuma kidogo ilikuwa inakubali kusoma modem na flash mpaka uwashe ukiwa umeshachomeka cha ajabu sasa hivi imekataa kabisaa sasa sijui nifanyaje msaada wenu wapendwa natanguliza shukrani zangu za dhati
 

software

Member
Nov 28, 2011
18
0
Miaka ya nyuma nilikua na desktop computer ambayo pia ilikua na tatizo hilohilo. Nilijaribu ku-install USB Drivers na hata kubadili Operating Systems bila mafanikio. Baada ya muda nilinunua USB Ports Extension hivyo nikawa nikitaka kuchomeka flash nachomeka kwenye ile extension ambayo naichomeka kwenye computer. That solved my problem. By try googling you may find a better solution.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom