msaaada wadau wa yahoo email na fb

msaaada wadau wa yahoo email na fb

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Posts
1,293
Reaction score
202
wadau naomba kuuliza nitawezaje kuzuia email msgs za facebook ninaztumiwa inboz zisilete email kwenye email ya yahoo? na kama nikitaka kurudisha pia nafanyaje
msaada wenu wana JF
 
Fungua email za fb (mojawapo)
then kule chin kabsa ya hyo email
kuna sehem wameandka
'unsubscribe'
then click hilo neno
then
uta_comfirm
done!
 
Fungua email za fb (mojawapo)
then kule chin kabsa ya hyo email
kuna sehem wameandka
'unsubscribe'
then click hilo neno
then
uta_comfirm
done!

na kama nataka kurudisha je hizo ziwe zinaingia? nitafanyaje?
 
wadau naomba kuuliza nitawezaje kuzuia email msgs za facebook ninaztumiwa inboz zisilete email kwenye email ya yahoo? na kama nikitaka kurudisha pia nafanyaje
msaada wenu wana JF

Ingia facebook yako halafu ingia Setting halafu ingia Notification halfu chagua Only notifications about your account, security and
privacy
then ur done!
 
thank you mkuu
 
Back
Top Bottom