iPad 4 Internet

iPad 4 Internet

Gudasta

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2011
Posts
627
Reaction score
1,153
Ndugu wana jf, naomba Msaada wenu kuhusu hili, Nina mpango wa kununua iPad 4 retina display, naomba kujua Kama inauwezo wa kutumia 3G Internet , maana kwa nilivyoisoma yenyewe ina 4G+cellular network, je nikiweka micro sim card kwenye hii iPad 4 nitapata 3G Internet
Aksanteni
 
iPad 4? au unamaanisha iPad mini?,,kama ni WiFi + cellular basi inaweza pia kudaka 3G na 2G network vizuri tu,,
 
Back
Top Bottom