Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

najaribu weka settings za internet kwenye XPRESS MUsIC then inanambia "only 70 sets allowed, settings discarded"..hii kitu imekaaje? simu net haingiii then nikijaribu weka settings naletewa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana jamii... Mimi ni mwakilishi wa asasi ya kiraia inayoitwa Matabula's foundation. Tulikua tukihitaji nembo (logo) kwa ajili ya asasi yetu, ivyo tukaona tuwaombe wadau wanaoweza kudesign...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari zenu wanajukwaa ,,,,wakuu nina modem lkn kila nikiiweka katika pc inasema '''''the device is unrecognized by windows''''' na nikienda my computer sioni dalili ya any device ,,,,imewai...
0 Reactions
1 Replies
809 Views
Nimeenda kwenye Pc setting iko Off kuiset On haikubali.Mwenye kujua naomba msaada wakuu
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za usiku wadau wa JF; wakuu nina kakimeo kangu ka Nadia napenda kujua baadhi ya parts za gari. Gari inayo manual lakini imeandikwa kijapan ambayo hata kutafsiri tu sijui. Naomba ambaye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuu naomba msaada wenu cmu yangu inazima pindi ikianza kuseach network nokia 1280 nawasilisha
0 Reactions
0 Replies
716 Views
Galxy note used Inauzwa Kwa 650,000 Exelent condition +255 756 412 337
0 Reactions
0 Replies
636 Views
Tumia mojawapo ya key hizi kuupgrade window 7 kuwa ultimate. *7YWX9-W3C2V-D46GW-P722P-9CP4D *MM7DF-G8XWM-J2VRG-4M3C4-GR27X * KGMPT-GQ6XF-DM3VM-HW6PR-DX9G8 *MVBCQ-B3VPW-CT369-VM9TB-YFGBP...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Written by Rose Athumani | The Daily News | October 14, 2012 TANZANIA will join her neighbour Kenya in getting rid of counterfeit telephone handsets in the country by switching them off...
2 Reactions
93 Replies
12K Views
Hello, wadau kuna mtu yeyote anayejua ni vipi ntaweza nikapata internet service ya wizi na bei nafuu....na kuchakachua niweze kupata dstv channels for free.....coz nimesikia kuna watu wafanya hio...
0 Reactions
43 Replies
10K Views
Habari, wana Technology Mimi nimefanikiwa kutumia OVI NOKIA SUITE Je ni nini madhara ambayo simu inaweza kuyapata kwa kutumia OVI NOKiA SUITE kwa Muda Mrefu?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, Kama ilivyo kawaida yetu tuendelee kuelimishana bila kuchoka.Leo naomba kueleweshwa namna ya kuunganisha laptop na wireless internet nikiwa eneo lenye access na wireleass...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
kwanza natanguliza salamuu,nilikua bize na masomo kidogo xo nimepitwa na meng kwaiyo naomba wat wangu mnijuze freenet yale madude nw naona hola
0 Reactions
0 Replies
971 Views
Habari zenu wanajukwaa ,,,,wakuu nina modem lkn kila nikiiweka katika pc inasema '''''the device is unrecognized by windows''''' na nikienda my computer sioni dalili ya any device ,,,,imewai...
0 Reactions
0 Replies
945 Views
Msaada wadau nimeibiwa BLACK BERRY TORCH sasa nauliza kama naweza ikamata au kujua ilipo kwa kutumia pin yake au ni ngumu kutrace? Vijana magomen wameniweza jana...please mwenye ujuzi wa kutrace...
0 Reactions
1 Replies
846 Views
hi wana jf Nimekuwa nikisoma topic za jf, Ama kweli jf ni website ya watu na heshima zao, ila mm nimekuja na wazo langu, mm ni graduate bed computer science niko kilimanjaro nimeajiriwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Guyz hebu nisaidieni wapi hawa majamaa wa easytv wanapatikana?
0 Reactions
1 Replies
879 Views
New links for BBM7 - http://byobb.in/2012/12/blackberry-messenger-7-download-now-ota-links/ Download before this gets down :) If link opens as text, Clear browser cache and retry
0 Reactions
0 Replies
772 Views
Eti ni kweli kuwa dunia itafika mwisho wake kwa kupondwa pondwa na jiwe kubwa ambalo lipo huko angani.Na wanasayansi wanafanya juhudi kulizuia??? Kama kuna watu wanajua juu ya hlo atujuze...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Naomba wana JF mnisaidie katika hili kwani sielewi baada ya kupigiwa simu na jamaa yangu akiniambiwa kuwa ametumiwa ujumbe kupitia yahoo, akiambiwa kuwa nimeibiwa mali zangu wakati nikitoka safari...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom