Jamani mbona changu kinaisha mapema? Msaada

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,668
Habar za jf kama kichwa cha kinavoeleza! Nimenunua kifurush cha sh2500 asubuhi hii cha kushangaza hata sikumaliza dk15 kimeisha! Najua kuna wengi humu ndani wanajua namna ya kutumia intarneti bure bila kulipia chochote naombeni na mimi mni pm kama kuna mwenye ufaham wa hilo kwa maana voda wamenimaliza shukrani wana bodi.
 
angalia kama una automatic updates za operating systems, antivirus.. n.k... au uli stream line videos.....
 
pia choice ya bundle.

Voda now kwa sh 500 unapata sms 500 na mb 500 za internet ambazo kwa siku kama hudownload sana zinatosha na kubaki kujiunga *149*02#

tigo wana megabox mb20 za speed na zinazofuatia unlimited kwa speed ndogo bei sh 400 au 450 kama sjakosea kujiunga *148*01#

zantel wana bronze sh 4000 unapata mb600 kwa mwezi mzima

so ufanye vizuri choice ya bundle utakayonunua maana kuna bundle ni bei kubwa then volume ya mb's ni ndogo
 
Habar za jf kama kichwa cha kinavoeleza! Nimenunua kifurush cha sh2500 asubuhi hii cha kushangaza hata sikumaliza dk15 kimeisha! Najua kuna wengi humu ndani wanajua namna ya kutumia intarneti bure bila kulipia chochote naombeni na mimi mni pm kama kuna mwenye ufaham wa hilo kwa maana voda wamenimaliza shukrani wana bodi.

Nunua cha Airtel kwa 2500/= 400MB kwa mwezi pia fuata kama ulivyoshauriwa kuhusu hayo maAutomaticUpdates ila usizime ya Antivirus labda tu kama hizo site unazotembelea ziko safe au trusted
 
Habar za jf kama kichwa cha kinavoeleza! Nimenunua kifurush cha sh2500 asubuhi hii cha kushangaza hata sikumaliza dk15 kimeisha! Najua kuna wengi humu ndani wanajua namna ya kutumia intarneti bure bila kulipia chochote naombeni na mimi mni pm kama kuna mwenye ufaham wa hilo kwa maana voda wamenimaliza shukrani wana bodi.

Angalia unacho download, isije ikawa zile za XXXXXXX
 
pia choice ya bundle.

Voda now kwa sh 500 unapata sms 500 na mb 500 za internet ambazo kwa siku kama hudownload sana zinatosha na kubaki kujiunga *149*02#

tigo wana megabox mb20 za speed na zinazofuatia unlimited kwa speed ndogo bei sh 400 au 450 kama sjakosea kujiunga *148*01#

zantel wana bronze sh 4000 unapata mb600 kwa mwezi mzima

so ufanye vizuri choice ya bundle utakayonunua maana kuna bundle ni bei kubwa then volume ya mb's ni ndogo
hebu tujuze zaidi mkubwa, hii *149*02# wanauliza "USSD response 160" unajibu nini hapo mkuu?
 
we chief-mkwawa ni mb5oo za voda au typo?

mkuu ni kale ka offer ka university kanaendelea sku izi baada ya unlimited wanakupa mb 500

then now nimeielewa zaidi ni lazima line uiunganishe kwanza kwa ajili ya kuunga inabidi uwaone wale wadada na wakaka wanaokaa kwenye mahema ya voda fasta wanakuungia.

Then kuna bundle mpya ya tigo 750 kwa siku wanaclaim ni unlimited kuna mtu amehakikisha?
 
Last edited by a moderator:
pia choice ya bundle.

Voda now kwa sh 500 unapata sms 500 na mb 500 za internet ambazo kwa siku kama hudownload sana zinatosha na kubaki kujiunga *149*02#

tigo wana megabox mb20 za speed na zinazofuatia unlimited kwa speed ndogo bei sh 400 au 450 kama sjakosea kujiunga *148*01#

zantel wana bronze sh 4000 unapata mb600 kwa mwezi mzima

so ufanye vizuri choice ya bundle utakayonunua maana kuna bundle ni bei kubwa then volume ya mb's ni ndogo

Hiyo ya bronze ya zantel, 4,000 kwa 600mb
 
Back
Top Bottom