Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
nimatumaini yangu mu wazima wana jukwaa ,,,,bila shaka wengi wetu tunatumia pirate bay kudownload vitu mbali mbali,,,na japo uenda wengine wanatumi zbigz nahisi wengi wttu ni UTORRENT nikiachana na propaganda,,,naombeni tudiscuss siku ya leo setting nzuri za u torrent 3.2.2 ambayo ni nzuri kwa window 8,,,mwenye hizo settings ambazo amezijaribu na zimempa majibu ya speed nzuri ya kudownload basi atoe humu jukwaani ili tuzidi kupakua,,,,na settings kuu tujikite zile za preference pamoja na za bandwidth,,,,hakikish unapotoa uwe umezijaribu na zimekupa majibu mazuri
natanguliza shukrani
natanguliza shukrani