Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

ilichukua kama masaa 4 tu kujua kua apple iphone 5 wamecopy toka nokia na sony. tayari apple washapatikana na hatia so wanasubiria kuhukumiwa tu. Maeneo ambayo apple kakutwa na hatia ni...
2 Reactions
75 Replies
6K Views
naomba msaada jaman kwa simu yangu ya ideos,nikitaka kudownload inakataa,
0 Reactions
2 Replies
1K Views
GMAIL AWARESOME TRICK, SEND SMS TO YOU FRIENDS MOBILE PHONES FOR FREE There are many features of Gmail, which we don't know. Did you know that,you can easily send SMS to your Friends or relative...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mfumo wa Urushaji wa Matangazo ya Television katika Mfumo wa Digitali si Mgeni hapa Tanzania. Matangazo ya Televisheni kwa mfumo wa Digtal yanatofautiana tu katika Namna Matangazo yanamfikia...
16 Reactions
137 Replies
21K Views
jaman wana jf simu yangu samsung galaxy mini nilikua nimeiweka chaji then baada ya masaa kama maiwili kuigusa nikakuta imekua ya moto sana then nikaizima ili ipoe, baada ya mda kidogo nikajaribu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wakuu Naitaji Min laptop ya HP au TOSHIBA mpya ikiwa na kila kitu chake.............nataka vile vidogo sio makubwa ya Inch 14 hapana, naitaji haraka kwenye nayo aweke bei na contact yake tufanye...
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Wadau habari za asubuhi.Jamani siku hizi mbili,tatu za nyuma niliona tangazo kwenye chaneli ya EATV kuwa wataleta king'amuzi kinachoitwa Digitex.Mwenye uelewa wa chanel zake atudokeze japo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za majukumu wanajamii, Nimekumbwa na hili tatizo la kutoweza kufungua GMAIL account yangu kwa takriban siku 4 sasa, nimekuwa nikijiuliza tatizo ni nini lkn nimeshindwa kupata majibu ya...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Naomba tujadili hili suala, kuna ushindani mkubwa umeibuka kati ya watengenezaji wakubwa wa processors ambapo intel ambaye kwa miaka mingi amekuwa ndiye kiongozi wa industry ameanza kabwa koo na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dah kiukweli zamani ilikuwa nikitaka nkujua mambo ya technolojia kwa undani wake naingiahumu napata vi2 vipya na napata kuelewa kwa undani kwa kifupinilikuwa cboreki nw yaani dah misaad imezidi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hack Mobile Phones Through Bluetooth Yes guys it is the mobile bluetooth hacker. It is a software which can be used to hack any mobile phone through bluetooth network. Once connected to...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
wadau heshima mbele jamani simu yangu imekuwa na tatizo hivi karibuni la kupata moto yana ukiitumia, kupiga simu, kuchat, inakuwa ya moto ghafla na charge inakuwa...
0 Reactions
0 Replies
852 Views
Ni kama mwezi umepita kuna rafiki yangu anunue laptop mpya K.Koo ikiwa na Windows 7 na hali ya betrii yake ilikuwa ni nzuri tuu kwani ilifikisha karibu masaa manne(4) kama ikiwa unplugged. Hiyo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
nina ibook g4 ambayo ukiwasha inatoa alama ya aple na haiendelei zaid ya hapo. nikibonyeza option wakat wa kuwasha haiji sehem ya kuchagua uboot toka wapi. Cha ajabu KILA NIKIWEKA CD AU DVD...
0 Reactions
1 Replies
829 Views
Naombeni msaada wakuu, kuna mtu kaniambia nikipata drivers za graphics, VGA drivers na ku-update video card computer yangu itaperform splendidly compared to now. Msaada geeks,ipo slow kama uji...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wadau naomba kupatiwa programm ya cyberlink youcam for windows 7, jumapili njema
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu Wenzangu kuna website moja kila nikifunguwa napa jibu hili ( Duplicate headers received from serverThe response from the server contained duplicate headers. This problem is generally the...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Closed
Habari zenyu wakuu?. Aise samahani kuuliza si ujinga. Mimi ningetaka kuwajuwa hasa hawa jamiiforums ni kina nani? nini lengo lao la kuanzisha forum bodi hii?, naweza kuonana nao kwa macho?, na je...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Jaman napenda leo tujadili kuhusu hizi browser WHICH IS THE BEST BROWSER kati ya Mozilla ff na Google crome na kwa kuanza mm naweza kusema Google crome ni nzuri kwa sababu, 1.ina speed kubwa...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Back
Top Bottom