Wadau ninayo simu aina ya Samsung Wave S8600 na inatumia OS ya Bada sasa nataka kuinstall Android OS, tafadhali mwenye kujua mtu anayeweza kuniwekea android OS au mwenye ujuzi wa jinsi ya...
wakuu habari zenu.. Naombeni msaada kwa wanaojua haya mambo maana sitaki kupiga window chini... Nikiwasha machine inaload fresh hadi pale kwenye welcome then black screen inatokea na cursor...
Habr wana jf? Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha nne mwaka 2011.ameniomba ushaur asomee koz gan za it?
Website ya hiko chuo n hii hapa unaweza ukatembelea kuangalia hzo koz zinazotolewa...
BlackBerry Fighting for Smartphone Relevance in US1 / 2
BlackBerry CEO Thorsten Heins unveils the BlackBerry Z10 and the BlackBerry Q10 at a January launch event
WASHINGTON, February 13...
Ndugu wana JF, nina blogu yangu ya mifugo hapa SEKTA YA MIFUGO TANZANIA nilikuwa nataka kuiboresha kwa kuweka picha mwanzoni mwa home page. Nataka niweke picha za mifugo hapo mwanzo lakini zijae...
We know that it is important to backup all our data in the computer, but do you know that it is important to backup your Windows registry as well? The registry is the database that contains all...
Habari za kutwa, naomba mnisaidi kwa haya.
Nimefungua blog inayohusu fashion http://www.streetswaggerific.blogspot.com/?m=1. tatizo ni kwamba unapo ifungua yaani ikiwa kwenye HOME inaonesha post...
asante kwa kusoma,nina tablet ya toshiba t100 ina suport wifi tu ila ina port ya kuweka usb,nkiweka modem inasoma rang ya 3g ila haikonect ninachoomba ni kama kuna anaejua jinri ya kuifanya iweze...
Jesus is Lord 12682 H 26657 1/2 Intelsat 20
(IS-20) @ 68.5° East
found CW: EF FF FF ED 00 00 00 00Jesus is Lord 12682 H 26657 1/2 Intelsat 20
(IS-20) @ 68.5° East
found CW: EF FF FF ED 00 00 00 00...
MWENYE PC DVD YA FIFA 13 ANIFORWADIE CD KEY (ONLINE PASS) NIPATE UWEZO WA KUCHEZA ONLINE AU DOWNLOAD LINK YA FIFA 13 YENYE UWEZO WA KUINGIA ONLINE pleaseeeeee!!
Wakuu simu yangu Nokia 2730, imekuwa slow ghafla, pia haipokei wala kutuma sms, inajibu message memory not ready kwa zaidi ya siku 3 sasa, nimejarib kuiformat (hard reset) but kwenye memory...