Msherwa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2012
- 1,323
- 1,232
Wakuu simu yangu Nokia 2730, imekuwa slow ghafla, pia haipokei wala kutuma sms, inajibu message memory not ready kwa zaidi ya siku 3 sasa, nimejarib kuiformat (hard reset) but kwenye memory status bado inaandika 1.1 Mb kwenye message memory. Na hiyo ndo nadhan chanzo cha tatizo coz inatumia mjua mwing kuproces hzo sms bila mafanikio na kuifanya kuwa slow, pliz anayejua jinsi ya kuiformat hiyo mesage memory coz nahis ndo imebeba virus, msaada wakuu
cc: chief-mkwawa MziziMkavu e2themiza NingaR
cc: chief-mkwawa MziziMkavu e2themiza NingaR
Last edited by a moderator: