MSAADA....U-torrent | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA....U-torrent

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by sanawari, Jun 14, 2012.

 1. sanawari

  sanawari Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari wana JF ..HIVI NI SPEED GANI NZURI KWA KU DOWNLOADING MOVIE KWENYE U TORRENT WAKUU...BTWN SEC-5MINITS.
   
 2. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  mimi nakupa kwanza warining
  ujue hapo unafanya copyright infringment
  utapewa warning wkt unadownload na wanaweza kukutrace kwa kutumia IP address its very easy kukudaka
  marekani washafungwa wengi tu na nchi za ulaya pia.
  soma hii kesi ya Pirate bay The Pirate Bay - Wikipedia, the free encyclopedia
  sometimes unaweza kutumiwa virus vikauwa pc kwani ni illegal downloading unayotaka kufanya
  what to do ni kununua dvd online utapewa instructions za kufanya
  wanaita digital downloading after making payment.
  acheni kupenda vya bure madhara yake makubwa sana.
   
 3. S

  Soki JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mkuu, hebu mweleweshe jinsi ya kufanya ili kubuy online kwani kwakweli wabongo wengi hawafanyi hivyo wengine kwa hofu, wengine kwa kutokujua!
   
 4. I-NGOSHA

  I-NGOSHA JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 239
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Acha kumtisha mwenzio bongo hamna hiyo sheria! nina miaka mitano natumia utorrent napata vitu latest kila leo.
   
 5. asrams

  asrams JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 4,025
  Likes Received: 1,394
  Trophy Points: 280
  so ndo hapo, mie na miaka 7 natumia bila tabu yoyote


  Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
   
 6. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #6
  Jun 16, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  google andika jina la movie unayotaka utaelekezwa wapi pa kuipata
  utapewa maelekezo yote how to purchase online
  utapewa details zote za huyo service provider,adress yake,location, how to pay, how to download nk
  ila ujue right to cancell payment inakuwepo kabla hujaanza kudowload
  ukishalipa utatumiwa additional terms and conditions
  cha muhimu uwe na credit card,visa au mastercard ili uweze kulipa online.
  mnaoiba ibeni tu lakni ipo siku mtajuta.
   
 7. S

  Soki JF-Expert Member

  #7
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Wengine hata hiyo credit card hawajui!!! Wao wana card ya CRDB, NBC, NMB etc!
  Na hawaelewi kwamba kwa kutumia baadhi ya card hizo wanaweza kununua online ikiwa zimewezeshwa kwa shughuli hiyo.
   
 8. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #8
  Jun 16, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  standard chartered bank, exim nadhani na crdb wana hizo visana master card.
  ndani yake kuna number utatakiwa kuingiza nadhani digits 14 na pia utaambiwa uingize expire date ya kadi yako na no zingine tatu za siri zipo ktk kadi ukishaingiza bank husika itaveify payment na kukuambia uingize pasword yako then bank itakukata hicho kiasi na kutuma kwa huyo service privider unakonunua dvd.so wizi hakuna.
   
 9. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #9
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Ongezea Barclays, NBC pia wanatumia debit card, tena huhitaji kuwafuata benki kama wataka kujiunga na mfumo wa manunuzi online, kama paypal.
   
 10. S

  Soki JF-Expert Member

  #10
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Yeah! Kweli Mkuu Lokissa, CRDB wanayo huduma hiyo. Mimi nilishawahi kununua online kwa card yao. Mtu ukifika tu bank ya CRDB unaelekezwa kila kitu then unaenjoy buying online!
   
 11. S

  Soki JF-Expert Member

  #11
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mkuu, kuna kitu umegusia hapo ambacho nataka kujua zaidi, PAYPAL. Unamaanisha NBC wanaweza kunipa huduma ya Paypal ili sasa niwe ninafanya payments kwa Paypal?
   
 12. S

  Soki JF-Expert Member

  #12
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kuna wakati unakuta online software nyingine ya muhimu sana kwako lakini inalipiwa hela kidogo sana, labda $2 nk lakini mtu unaikosa. Ukiwa na kadi hizi unainunua na kuipata mara moja then unaenjoy!
   
 13. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #13
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Shughuli pevu kupata credit card tz labda debit nakubali.....
   
 14. S

  Soki JF-Expert Member

  #14
  Jun 16, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  ni kwanini?
   
 15. Simbajr

  Simbajr Senior Member

  #15
  Jun 16, 2012
  Joined: Apr 1, 2010
  Messages: 186
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Acheni vitisho Utorrent ni safe zaidi ya maelezo.. Nna album za wasanii, movie na vitabu kibao kupitia Utorrent kwa miaka kibao sasa..

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 16. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #16
  Jun 16, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Tatyzo hapa bongo bado tupo tupo kwanza ikija kufuatwa sheria ya mambo hayo mbona tutajificha mvunguni mwa vitanda au kwenye dari kama vitoto vya panya........!!!!
  Krapka Davinoooooooooo
   
 17. Simbajr

  Simbajr Senior Member

  #17
  Feb 13, 2013
  Joined: Apr 1, 2010
  Messages: 186
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  all western countries use utorrent acha ubongo lala... wanao kamatwa wanafanya pirate ya namna ingine lakin sio kitu kisha tupiwa torrent alaf mimi mteja third part nije kukamatwa.. never
   
Loading...