msaada:tablet inaotumia wifi itumie modem

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
693
asante kwa kusoma,nina tablet ya toshiba t100 ina suport wifi tu ila ina port ya kuweka usb,nkiweka modem inasoma rang ya 3g ila haikonect ninachoomba ni kama kuna anaejua jinri ya kuifanya iweze tmia modem anipe info
 
Kama tablet yako haina uwezo wa kutumia SIM card then utahitaji hiki kifaa ambacho kinaitwa MiFi.
at-amp-t-novatel-wireless-mifi-2372-modem-announced-coming-november-21st-for-49-99-at-amp-t-announce_2.jpg

Sifa za kifaa hiki:

  • Kifaa hiki kina uwezo wa kuconnect hadi device 5 zenye uwezo wa WiFi kwa wakati mmoja kama vile Computers, PDA's, cameras, music players, personal game players n.k huku ikiendelea kukupa internet yenye speed na kasi ya ajabu.
  • Kifaa hiki kinatumia Rechargeable battery aina ya Lithium Ion yenye uwezo wa kukaa na chaji hadi masaa manne hivyo huna haja ya kuwa na wasi wasi wa kukosa mtandao endapo ukiwa katika eneo ambalo halina umeme.
  • Pia kifaa hiki kinamrahisishia mtumiaji kuweza kuconnect internet kwa njia ya wireless mahali popote na wakati wowote bila ya kuwa na haja ya kuinstall software yoyote.
  • Pia kifaa hiki kinatumia line za mitandao yote ya simu ya mkononi hivyo kukurahisishia wewe mtumiaji kuweza kubadilisha line endapo mtandao mmoja utasumbua badala ya kuwa na modem za mitandao yote ya simu ambazo pia zinaweza kusababisha error katika computer yako endapo utainstall software nyingi za modem katika computer yako.
  • Kifaa hiki pia kina muonekano mzuri, kidogo mfano wa simu aina google IDEOS na ni chepesi ambacho kinakuwezesha wewe kuweza kutembea nacho kwa urahisi mahali popote upendapo.
  • Kifaa hiki pia kina uwezo wa NovaSpeed ambayo inakupa internet yenye kasi ya ajabu tofauti na modem za mitandao ya simu za mikononi.
  • Kifaa hiki kina uwezo wa kusafirisha signals za wireless kwa zaidi ya mita 10 (30ft).
  • Speed ya kifaa hiki ni (7.2 Mpbs download na 5.76 Mbps upload)

Bei yake kinaendaje mkuu, na kwa hapa town ntakpata wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom