Msaada nokia lumia 800

Msaada nokia lumia 800

sikiolakufa

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2010
Posts
411
Reaction score
55
wakuu kwa wanaojua bei ya nokia lumia 800 kwa sasa dar es salaam wanijuze...nimeipenda sana hii simu
 
Tafuta 820 hii inatumia Windows Phone 8 ndo bora zaidi, WP 7 imekosa features kama USSD kwa ajili ya hizi MPesa
 
Tafuta 820 hii inatumia Windows Phone 8 ndo bora zaidi, WP 7 imekosa features kama USSD kwa ajili ya hizi MPesa

mkuu wewe ni developer

kuna apps kama emdial na phonedial kwa ajili ya kutumia ussd but hazifany kazi kwa baadhi ya mitandao je kuna nini kinamisi?

Kuna uwezekano kudevelop kwa ajili ya tz? Itachkua mda gan na resource gan
 
kwahyo hatoweza kufanya transaction za Tigopesa?

Wife wangu anayo Lumia 800 haisupport M-Pesa wala tiGO Pesa,pia hata voda akipiga *149*01# hawezi kutumia features za hiyo code.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mkuu kwa upande wa bei hiyo 820 inaenda ngapi?

mkuu ipo pia nokia 620 ni nzuri sana sjajua kama kibongo bongo ishaenea. Bei ni 250usd official bila tax. Na pia ikichukuliwa na mtandao wa simu bei inashuka. Mfano kama leo o2 uingereza wanaiuza pound 112 around 280,000 ni simu yenye dual core 1ghz processor qualcomm s4, ram 512mb, internal 8gb na memorycard hadi 64gb. Inatumia wp8.

Ila kwa kukisia ikija bongo itauzwa 450,000 hadi 500,000 ila kwa bei hio inadeserve maana huwez pata simu ya android yenye specs kama hizo kwa bei rahisi hv.
 
mkuu wewe ni developer

kuna apps kama emdial na phonedial kwa ajili ya kutumia ussd but hazifany kazi kwa baadhi ya mitandao je kuna nini kinamisi?

Kuna uwezekano kudevelop kwa ajili ya tz? Itachkua mda gan na resource gan

Ni limitation ya Windows Phone 7 ni Microsoft tu wanaoweza kutengeneza, wameweka kwenye Windows Phone 8, ila WP7 haziwezi kuwa upgraded kwenda 8 na sidhani kama wana mpango wa kuupgrade WP7 tena.

Kwa kifupi haifai kwa nchi zetu ambazo USSD menu ni muhimu, nunua WP8 kwenda mbele.
 
OTE=sikiolakufa;5679158]Mkuu kwa upande wa bei hiyo 820 inaenda ngapi?[/QUOTE]

Kwa mujibu wa midcom east africa lumia 820 wanadai ni 860000/= hadi 900000/=;but kibongo bongo inazidi kidogo;kwa update ya bei zao tembelea fb page yao;( wengine ni online wanajiita kivuko online bei zao ni kubwa lumia 820 ni zaidi ya 1m😉
 
Back
Top Bottom