KiTU CHA BLACKsreen on startup... Window 7 ultimate.. Help!!!!

KiTU CHA BLACKsreen on startup... Window 7 ultimate.. Help!!!!

July Fourth

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2012
Posts
2,240
Reaction score
795
wakuu habari zenu.. Naombeni msaada kwa wanaojua haya mambo maana sitaki kupiga window chini... Nikiwasha machine inaload fresh hadi pale kwenye welcome then black screen inatokea na cursor inaweza kumove freely kwa screen but everything is black... Deeply black!!! Task manager inakubali na ninaweza fungua baadhi ya mafaili kwa kubonyeza pale kwa new tasks na kurun commands.. Sasa wakuu hii kitu nitaisolve vipi bila kushusha window??? Nimejaribu kurestore imetosa... Na tatizo limetokea baaada ya kuifungua flash yenye virus na niliposhut down, kuwasha ndo kitu ni black screen bila icons.. Window ni genuine..
Regards,
saj
 
Kaka kanunue w
Guinuine windows8 acha kutumia pirated software
 
Hzo trick zote hapo juu ni hatua ya mwisho kabsa,
lets get started,

1.Chomoa waya wa umeme kwenye switch ya ukutan

2.bonyeza k2fe cha 'on/off' bila kuachia (hold) mpaka computer izmike yenyewe gafla.

3.toa betri ya laptop kwenye laptop yako na uiache nje ya laptop (hiyo betri) kwa muda usiopungua dakika moja.

4.Then irudishe hiyo betri kwenye laptop, k isha power on

After that, u Done
jarbu then 2pe fidbak
 
nimefata steps zote ikagoma maana nilisema start windows normally. So nikarudia.. Then nikachagua safe mode...ikaload then sceen remained black but angel zingine imeandikwa safe mode.. Yaani juu safe mode, chini na pembeni vilevile
 
kama ipo start botton
click hapo then RUN andka cmd
ikija comand promp' Window andka "chkdsk /r" then enter
window ita repair mafile yote yaliyo corrupt
ukishndwa hapo itabd upge window chin
 
kama ipo start botton
click hapo then RUN andka cmd
ikija comand promp' Window andka "chkdsk /r" then enter
window ita repair mafile yote yaliyo corrupt
ukishndwa hapo itabd upge window chin

asante mkuu.. Am on it
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom