Google ad's sense, procedures. Please help.

Google ad's sense, procedures. Please help.

hkeenshine

Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
36
Reaction score
4
Habari za kutwa, naomba mnisaidi kwa haya.
Nimefungua blog inayohusu fashion http://www.streetswaggerific.blogspot.com/?m=1. tatizo ni kwamba unapo ifungua yaani ikiwa kwenye HOME inaonesha post nzima badala ya ku highlight, hupelekea mtu kuscrol sana NA inaboa sana. Naombeni mnisaidie kwa hili.
Jambo jingine, naomba mnisaidie kunipa muongozo wa kufungua ads sense kwenye blog na mahitaji take.
 
yani ushataja web yako haina top level domain basi usihangaike sana mkuu hujaqualify kanunue kwanza domain then rudi
 
Hapo Chief Mkwawa umenifumbua macho mwenyewe nilijaribu kwa blog www.achengula.blogspot.com (ya mifugo kwa kiswahili) bila mafanikio kumbe ni top level domain.
 
Ok! Ila mkuu kununua Hugo top domain ingharimu kiasi gani?
Na vp kuhusu kubadili hiyo layout na kuwa highlighted kwenye posts badala yakuonekana post yote ukiwa umefungua 'home page' nikiwa basically najipanga na top domain?
 
bei itazidi itakavozidi ila haitafika 30,000 ila standar ni 15,000 hadi 20,000 kwa .com kwa mwaka.

Mkuu zipo njia nyingi advanced za kufanya hivyo unavotaka na viapply automatic lakini sjafahamu uwezo wako wa kucode au hata kuedit template kama unaweza.

Kwa kuanzia tafuta kitu hichi kwenye panel yako unayotumia kuandikia post

blogger_154172_jump_icon_en.png

then andika maneno unayotaka yakae summary juu halafu press hiko ki icon then endelea kuandika post. Itatokea ndogo na maneno mengine yataendelea mtu akifungua full post
 
Nashkuru mh. Ntaifanyia kazi kesho alafu ntleta feedback. Am real appreciate your help all those guys. Thank very much.
 
Back
Top Bottom