Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

zangu zimekatika basi halifiki..nilikuwa natumia za basi jekundu ila dogo alilitia mdomoni limeingia mate halifanyi kazi tena so nna kibasi changu cha kijani hapa mwenye reli zake naomba msaada...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Msaada jamani,flash yangu nahisi itakuwa imeingia Virus,kinachotokea ni kwamba niki-click kwenye folder yoyote inanionyesha Empty,nikifungua files nyingine hazifunguki,nikijaribu ku-delete...
0 Reactions
0 Replies
940 Views
Habari.. Hili tatizo limeanza hv karibuni yani kila nikiwa nabrowse baada ya muda net inakata then mpaka nireboot ndio inarudisha network... Ni blacberry 9870.
0 Reactions
4 Replies
824 Views
Habari ya wana JF. Natumai wkend ImeishA salama na tAyar kwa Shughuli za wk kuanza. Ningependa kushare nanyi hii habari ya "Jinsi gani wenzetu wanavyoheshim upatikanaji habari kiasi chA...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
General 2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G Network HSDPA 900 / 2100 HSDPA 850 / 1900 - North America SIM Mini-SIM Announced 2010, September Status...
0 Reactions
3 Replies
850 Views
Naomba kujulishwa kama hapa Tanzania kuna kampuni inayotoa huduma ya mobile Wi-Fi.
1 Reactions
25 Replies
2K Views
wakuu wote wa jf kwanza hali zenu wote humu ndani naomba kuuliza suali je kuna decoder ambayo inatumia internet cable badala ya kutumia dish na kupata chanel za aljazeera kwa wanao jua naomb...
0 Reactions
3 Replies
998 Views
Nina ipad hapa nataka niweze kutumia kupiga simu Kama zilivyo simu za kawaida bila kutumia Internet .nifanyeje pia nitajieni apps za kudownload movie au video fasta kutoka YouTube *link...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
mwenye key za Artisteer.4.1.0.59861 au Artisteer v3.1.0.56360
0 Reactions
1 Replies
905 Views
msaada wakuu pc yangu ina hao wadudu yani kila partition wanacreat folder ndani ya folder zangu,nimejaribu kufanya window installation mara nyingi sana but hawatoki na wamefunga hadi partition za...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wataalam simu yangu (nokia x2-01) iliingia maji ikawa haiwaki, nikaipeleka kwa fundi ameiflash baada ya hapo imekua na tatizo jipya haitoi sauti wala vibration, itakua ndio imekufa au ni tatizo...
0 Reactions
1 Replies
719 Views
Wadau Salaam!! Kuna jambo ningependa kufahamu maujanja ya namna gani naweza kutatua tatizo hili. For couple of days now, my Upload Speed kwangu imekuwa Higher than Download Speed! As far as I...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wadau khabar za jioni, natafuta kifaa tajwa hapo juu, mwenye taarifa kuhusu mahali ambapo naweza kukipata anisaidie tafadhali.
0 Reactions
0 Replies
706 Views
nina iphone 3g,ilikuwa na 4.1 firmware nikai upgrade to 4.2.1 na kuitumia sana tu,sasa nikataka kufuta kila kitu kwenye hii simu so nikabonyeza erace all,ikamaliza but ikagoma kuwaka ila...
0 Reactions
1 Replies
699 Views
Je simu ya SAMSUNG E2222 inaweza ku-support whatsapp application? Na kama inaweza, ni website gani nitaipata hiyo Application?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nimeziona kwenye google nimezipenda, cjui mwanza ntazipata wapi?
0 Reactions
1 Replies
897 Views
Wakuu ni siku ya pili leo nashindwa kuona picha zilizotupiwa JF za matukio mbalimbali. Natumia Nokia Asha 200 na kabla ya hapo nilikuwa nazipata bila shida. Nikiingia mitandao mingine kama...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
hiv jaman kwann satellite dish hazitangazwi kaa mbadala wa wasioweza kulipia ving'amuzi, maana nijuavyo satellite dish zinashika local chanels. au ipoje msaada maama hata mie nina mpango na dish...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar wana jamvi Naomba msaada kwa yeyote anae fahamu free thin client software, nimejaribu kuinstall open thin client but napata error so kama kuna mtu anajua nyingine plz help! Natanguliza...
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Back
Top Bottom