Msaada: kuhusu Vodashop makao makuu mwanza

Msaada: kuhusu Vodashop makao makuu mwanza

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
841
Reaction score
140
Jmn
nngeomba kwa m2 mwenye ufahamu na hii office ya vodashop hapa ppf mwanza,
nataka kuomba field ya ICT hapo!, je ntaweza kupata ?
Maana mm nmesoma certfcation za Cisco
zaid ktk haya mambo ya routing & switching sasa nkashauliwa niende kwa maISP zaid ili n ive vzur
haya jaman kwa m2 mwenye uelewa au uzoefu na hapo ansaidie tafadhal.
 
Nenda Mwanza Net au ISP yeyote wa Mwanza,utapata kitu cha maana!Vodashop unaenda kufanya nini?kuuza modem?pale hawana chochote zaidi kuuza modem!mitambo iko dar na hawataweza kukupa uchezee!ingia kwenye net utengeneza live demo uwe unajifunza humo...kuna software kibao zitakusaidia!search GN3 software!
 
asante bro!
Hyo mwanza Net ipo maeneo yapi?
 
Back
Top Bottom